Peloponesi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Location map of Peloponnese (Greece).svg|thumb|300px|Peloponesi katika Ugiriki]]
[[Picha:Location map of Peloponnese (Greece).svg|thumb|300px|Peloponesi katika Ugiriki]]
'''Peloponesi''' ([[Kigiriki]] Πελοπόννησος ''peloponesos'' ) ni [[rasi]] kwenye kusini ya [[Ugiriki]] . Imeunganishwa na sehemu ya bara ya nchi kwa shingo la nchi pale kwenye mji wa [[Korintho]].
'''Peloponesi''' ([[Kigiriki]] Πελοπόννησος ''peloponesos'') ni [[rasi]] ya [[kusini]] mwa [[Ugiriki]]. Imeunganika na sehemu ya [[bara]] ya nchi kwa [[shingo la nchi]] kwenye [[mji]] wa [[Korintho]].


Jina la kihistoria ya rasi lilikuwa Morea (Μωριάς ''morias'').
[[Jina]] la [[Historia|kihistoria]] la rasi lilikuwa Morea (Μωριάς ''morias'').


Eneo lote la Peloponesi ni kilomita za mraba 21,549. Kuna watu 1,155,000 walioishi hapa kwenye mwaka 2011.
Eneo lote la Peloponesi ni [[kilomita za mraba]] 21,549. Kuna [[watu]] 1,155,000 walioishi huko [[mwaka]] [[2011]].


Peninsula imegawanywa kati ya mikoa mitatu ya kiutawala: sehemu kubwa ni ya mkoa wa Peloponnese, na sehemu ndogo ni za mkoa wa Ugiriki Magharibi na Attica .
Peninsula imegawanywa kati ya [[mikoa]] mitatu ya kiutawala: sehemu kubwa ni ya mkoa wa Peloponesi, na sehemu ndogo ni za mkoa wa Ugiriki Magharibi na wa Attica.


== Jiografia ==
== Jiografia ==
[[Picha:Corinth, Greece (NASA).jpg|thumb|300px|Shingo la nchi ya Korintho, mji wa Korintho upande wa kushoto, mstari nyoofu wa Mfereji wa Korintho katikati ya picha]]
[[Picha:Corinth, Greece (NASA).jpg|thumb|300px|Shingo la nchi la Korintho, mji wa Korintho ukiwa upande wa kushoto, mstari nyoofu wa Mfereji wa Korintho katikati ya picha]]
Ghuba ya Korintho inatenganisha Peloponesi na Ugiriki bara.
[[Ghuba ya Korintho]] inatenganisha Peloponesi na Ugiriki bara.


Rasi hiyo ina milima mingi na pwani lenye hori ndefu zinazoingia ndani ya nchi. Mlima mrefu ni Taygetos unaofikia mita 2,407 [[juu ya UB]]. Rasi yote inakabiliwa na [[mitetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara.
Rasi hiyo ina [[milima]] mingi na [[pwani]] yenye [[hori]] ndefu zinazoingia ndani ya nchi. Mlima mrefu ni [[Taygetos]] unaofikia [[mita]] 2,407 [[juu ya UB]]. Rasi yote inakabiliwa na [[mitetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara.


Mji mkubwa zaidi ni Patras yenye wakazi 170,000.
[[Mji]] mkubwa zaidi ni [[Patras]] yenye wakazi 170,000.


=== Miji ===
=== Miji ===
Miji mikubwa zaidi ya kisasa kwenye Peloponesi ni (sensa ya 2011):
Miji mikubwa zaidi ya kisasa kwenye Peloponesi ni ([[sensa]] ya 2011):


* Patras - wenyeji 170,896
* Patras - wenyeji 170,896
* Kalamata - wenyeji 62,409
* [[Kalamata]] - wenyeji 62,409
* [[Korintho]] - wenyeji 38,132
* [[Korintho]] - wenyeji 38,132
* Tripoli - wenyeji 30,912
* [[Tripoli (Ugiriki)|Tripoli]] - wenyeji 30,912
* Aigio - wenyeji 26,523
* [[Aigio]] - wenyeji 26,523
* Pyrgos - wenyeji 25,180
* [[Pyrgos]] - wenyeji 25,180
* Argos - wenyeji 24,700
* [[Argos]] - wenyeji 24,700
* Sparta - wenyeji 19,854
* [[Sparta]] - wenyeji 19,854
* Nafplio - wenyeji 18,910
* [[Nafplio]] - wenyeji 18,910


== Historia ==
== Historia ==
[[Picha:Lions-Gate-Mycenae.jpg|thumb| Lango la Simba huko Mikeke ''(Mycenae)'' .]]
[[Picha:Lions-Gate-Mycenae.jpg|thumb|Lango la Simba huko Mikene ''(Mycenae)''.]]
[[Picha:Olympia_-_Temple_of_Hera_3.jpg|thumb| Hekalu la Hera, Olimpia .]]
[[Picha:Olympia_-_Temple_of_Hera_3.jpg|thumb|Hekalu la Hera, Olimpia.]]
Rasi hii iliona vipindi na watendaji muhimu katika historia ya Ugiriki ya Kale.
Rasi hii iliona vipindi na watendaji muhimu katika [[historia ya Ugiriki]] [[ugiriki ya Kale|ya Kale]].
* [[Ustaarabu]] wa [[Mikene]] ulistawi mnamo [[1600 KK]] - [[1100 KK]] ulikuwa eneo la [[maendeleo]] ya [[tekinolojia]] ya [[Zama za shaba|zama za bronzi]] katika [[Ulaya]]. [[Mikene]] ilikuwa mji [[kaskazini]] mwa Peloponesi.

* Tangu mwaka [[776 KK]] [[Michezo ya Olimpiki]] ilifanyika [[Olimpia]] [[magharibi]] mwa Peloponesi.
*Ustaarabu wa Mikene ulistawi manmo mwaka 1600 KK - 1100 KK ulikuwa eneo la maendeleo ya tekinolojia ya [[Zama za shaba|zama za bronzi]] katika Ulaya. [[Mikene]] ilikuwa mji kwenye kaskazini ya Peloponesi.
* Miji mikubwa ya kale [[Sparta]], [[Korintho]], [[Argos]] na [[Megalopolis]] yote ilikuwa kwenye Peloponesi na kwa muda mrefu ilishirikiana katika [[Shirikisho la Peloponesi]].

* Kwenye miaka [[431 KK]] - [[404 KK]] [[vita ya Peloponesi]] iliona mapigano makali kati ya Sparta na [[Athens|Atheni]].
* Tangu mwaka 776 KK [[Michezo ya Olimpiki]] ilifanyika [[Olimpia]] kwenye magharibi mwa Peloponesi.
* Tangu mwaka [[146 KK]] Peloponesi pamoja na Ugiriki yote ilikuja chini ya [[utawala]] wa [[Dola la Roma]]. Pamoja na sehemu nyingine za [[Roma ya Kale]] hata hapa watu wengi walipokea [[dini]] mpya ya [[Ukristo]].
* Miji mikubwa ya kale [[Sparta]], [[Korintho]], Argos na Megalopolis zote zilikuwa kwenye Peloponesi na kwa muda mrefu ilishirikiana katika Shirikisho la Peloponesi.
* Baada ya kuporomoka kwa Dola la Roma [[Waslavi|makabila ya Waslavi]] walianza kuhamia Peloponesi; baada ya [[karne]] kadhaa Waslavi hao walikuwa wameshapokea Ukristo na kutumia [[lugha]] ya [[Kigiriki]]<ref>[[Stamatoyannopoulos, George]] et al., [http://www.nature.com/ejhg/journal/vaop/ncurrent/full/ejhg201718a.html Genetics of the Peloponnesian populations and the theory of extinction of the medieval Peloponnesian Greeks], European Journal of Human Genetics, 25.5 (2017), pp. 637–645</ref>
* Kwenye miaka 431 KK - 404 KK vita ya Peloponesi iliona mapogano makali kati ya Sparta na Atheini.
* Katika [[karne ya 15]] [[Milki ya Osmani]] ilianza kuvamia Ugiriki na hadi mwaka [[1532]] hivi Ugiriki yote pamoja na Peloponesi ilikuwa chini ya Milki ya Osmani.<ref name="EI2-239">Bées & Savvides (1993), p. 239</ref>
* Tangu mwaka [[146 KK]] Peloponesi pamoja na Ugiriki yote ilikuja chini ya utawala wa Dola la Roma. Pamoja na sehemu zingine za Roma ya Kale hata hapa watu wengi walipokea dini mpya ya Ukristo.
* Mwaka [[1821]] [[Vita ya Uhuru wa Ugiriki]] ilianza Kalamata kwenye Peloponesi <ref name="Clogg2002">{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=H5pyUIY4THYC|title=A Concise History of Greece|last=Richard Clogg|date=20 June 2002|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-00479-4|pages=35–42}}</ref> ikaendelea hadi kutambuliwa kwa Ugiriki kuwa [[nchi huru]] mnamo [[1830]].
* Baadaya kuporomoka kwa Dola la Rome [[Waslavi|makabila ya Waslavi]] walianza kuhamia Peloponesi; baada ya karne kadhaa Waslavi hao walikuwa wameshapokea Ukristo na kutumia lugha ya Kigiriki<ref>[[Stamatoyannopoulos, George]] et al., [http://www.nature.com/ejhg/journal/vaop/ncurrent/full/ejhg201718a.html Genetics of the Peloponnesian populations and the theory of extinction of the medieval Peloponnesian Greeks], European Journal of Human Genetics, 25.5 (2017), pp. 637–645</ref>

Katika karne ya 15 [[Milki ya Osmani]] ilianza kuvamia Ugiriki na hadi mwaka 1532 hivi Ugiriki wote pamoja na Peloponesi ilikuwa chini ya Milki ya Osmani.<ref name="EI2-239">Bées & Savvides (1993), p. 239</ref>

* Mwaka 1821 [[Vita ya Uhuru wa Ugiriki]] ilianza Kalamata kwenye Peloponesi <ref name="Clogg2002">{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=H5pyUIY4THYC|title=A Concise History of Greece|last=Richard Clogg|date=20 June 2002|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-00479-4|pages=35–42}}</ref> ikaendelea hadi kutambuiwa kwa Ugiriki kuwa nchi huru mnamo 1830..


== Marejeo ==
== Marejeo ==
Mstari 56: Mstari 52:
* [http://www.planetark.com/dailynewsstory.cfm/newsid/43988/story.htm Greek Fire Survivors Mourn Amid Devastation in Peloponnese].
* [http://www.planetark.com/dailynewsstory.cfm/newsid/43988/story.htm Greek Fire Survivors Mourn Amid Devastation in Peloponnese].
* {{cite journal | doi=10.11141/ia.34.4 | title=Storing up Problems: Labour, Storage, and the Rural Peloponnese | journal=Internet Archaeology| issue=34 | year=2013 | last1=Stewart | first1=Daniel | doi-access=free }}
* {{cite journal | doi=10.11141/ia.34.4 | title=Storing up Problems: Labour, Storage, and the Rural Peloponnese | journal=Internet Archaeology| issue=34 | year=2013 | last1=Stewart | first1=Daniel | doi-access=free }}
{{mbegu-jio-Ugiriki}}

[[:Jamii:Ugiriki]]
[[Jamii:Jiografia ya Ugiriki]]

Toleo la sasa la 10:11, 11 Machi 2021

Peloponesi katika Ugiriki

Peloponesi (Kigiriki Πελοπόννησος peloponesos) ni rasi ya kusini mwa Ugiriki. Imeunganika na sehemu ya bara ya nchi kwa shingo la nchi kwenye mji wa Korintho.

Jina la kihistoria la rasi lilikuwa Morea (Μωριάς morias).

Eneo lote la Peloponesi ni kilomita za mraba 21,549. Kuna watu 1,155,000 walioishi huko mwaka 2011.

Peninsula imegawanywa kati ya mikoa mitatu ya kiutawala: sehemu kubwa ni ya mkoa wa Peloponesi, na sehemu ndogo ni za mkoa wa Ugiriki Magharibi na wa Attica.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Shingo la nchi la Korintho, mji wa Korintho ukiwa upande wa kushoto, mstari nyoofu wa Mfereji wa Korintho katikati ya picha

Ghuba ya Korintho inatenganisha Peloponesi na Ugiriki bara.

Rasi hiyo ina milima mingi na pwani yenye hori ndefu zinazoingia ndani ya nchi. Mlima mrefu ni Taygetos unaofikia mita 2,407 juu ya UB. Rasi yote inakabiliwa na mitetemeko ya ardhi ya mara kwa mara.

Mji mkubwa zaidi ni Patras yenye wakazi 170,000.

Miji[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa zaidi ya kisasa kwenye Peloponesi ni (sensa ya 2011):

Historia[hariri | hariri chanzo]

Lango la Simba huko Mikene (Mycenae).
Hekalu la Hera, Olimpia.

Rasi hii iliona vipindi na watendaji muhimu katika historia ya Ugiriki ya Kale.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stamatoyannopoulos, George et al., Genetics of the Peloponnesian populations and the theory of extinction of the medieval Peloponnesian Greeks, European Journal of Human Genetics, 25.5 (2017), pp. 637–645
  2. Bées & Savvides (1993), p. 239
  3. Richard Clogg (20 June 2002). A Concise History of Greece. Cambridge University Press. ku. 35–42. ISBN 978-0-521-00479-4.  Check date values in: |date= (help)

 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Peloponesi travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Peloponesi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.