Tutankhamun : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
'''Tutankhamun''' (Tutankhaten, Tutankhamen) alikuwa [[farao]] wa [[Misri ya Kale]]. <ref>Clayton, Peter A. 2006. ''Chronicle of the Pharaohs: the reign-by-reign record of the rulers and dynasties of Ancient Egypt''. Thames & Hudson. ISBN 978-0-500-28628-9</ref> Alitawala tangu alipokuwa na umri wa miaka tisa ([[1334 KK]]) hadi alipokufa ([[1323 KK]]). Alikuwa farao wa [[Nasabaya 18 ya Misri|nasaba ya 18]] (familia ya kifalme) wakati wa Ufalme Mpya . Yeye ni mashuhuri kwa sababu kaburi lake ni kaburi la pekee la makaburi yote ya kifalme ya Misri ya Kale lililohifadhiwa bila kuporwa hadi karne ya 20.

Tutankhamun alikuwa mtoto wa [[Akhenaten]] na mmoja wa dada za Akhenaten, <ref name="autogenerated640">{{Cite journal|last=Hawass|first=Zahi|displayauthors=etal|date=2010|title=Ancestry and Pathology in King Tutankhamun's Family|url=http://jama.jamanetwork.com/article.aspx?articleid=185393|volume=303|pages=640–641|access-date=21 October 2013}}</ref> au labda mmoja wa binamu zake, Kiya.
Tutankhamun alikuwa mtoto wa [[Akhenaten|Farao Akhenaten]] na mmoja wa dada za Akhenaten, <ref name="autogenerated640">{{Cite journal|last=Hawass|first=Zahi|displayauthors=etal|date=2010|title=Ancestry and Pathology in King Tutankhamun's Family|url=http://jama.jamanetwork.com/article.aspx?articleid=185393|volume=303|pages=640–641|access-date=21 October 2013}}</ref> au labda mmoja wa binamu zake, Kiya.

Tutankhamun alitawala kwa miaka 9 na alikufa kijana, akiwa na miaka 19. Alikuwa amemwoa dada yake aliyezaliwa na Ankhesenamun, binti ya Malkia [[Nefertiti]], mama yake wa kambo.
Tutankhamun alitawala kwa miaka 9 na alikufa kijana, akiwa na miaka 19. Alikuwa amemwoa dada yake aliyezaliwa na Ankhesenamun, binti ya Malkia [[Nefertiti]], mama yake wa kambo.
Mstari 11: Mstari 11:

Alibadilisha pia jina lake mwenyewe kutoka Tutankh-Aten kuwa Tutank-Amun akiimarisha urejeshwaji wa ibada ya Amun.
Alibadilisha pia jina lake mwenyewe kutoka Tutankh-Aten kuwa Tutank-Amun akiimarisha urejeshwaji wa ibada ya Amun.

Mnamo 1922 Howard Carter alikuta kaburi la Tutankhamun. Makaburi yote ya mafarao wa Misri yaliporwa tangu zamani. Hapa ni mara ya kwanza kaburi liligunduliwa na kufunguliwa ambalo lilikuwa katika hali asilia. Uchunguzi wa viti vilivyokaa ndaniy ake ulileta utajiri wa habari kuhusu maisha ya Misri ya Kale; vitu vingi kutoka kaburi vinaonyeshwa katika jumba la kumbukumbu la Misri mjini Kairo.

== Ugonjwa na kifo ==
== Ugonjwa na kifo ==
Uchunguzi wa hivi karibuni wa mwili wake kwa kutumia uchunguzi wa CT na [[DNA|vipimo vya DNA]] vinaonyesha kuwa alikuwa na watoto wawili, lakini walikufa wakiwa wadogo sana. Wanasayansi sasa wanaamini alikufa kutokana na mguu uliovunjika, uliofanywa kuwa mgumu zaidi na ugonjwa wa mifupa na [[malaria]] . <ref name="abc">{{Cite web|url=http://abcnews.go.com/Health/LivingLonger/king-tut-died-revealed-study/story?id=9853119#.UMT1DOR4xiN|title=How King Tut died revealed in new study|publisher=ABC|work=ABC World News|date=2010|accessdate=December 10, 2012|author=Hasan, Lama}}</ref> Kabla ya ugunduzi huu kulikuwa na nadharia nyingi juu ya kifo chake mapema, pamoja na mauaji. Ni hakika kabisa kwamba aliambukizwa na aina kadhaa za malaria, na uwezekano mkubwa kwamba alikuwa na kasoro za maumbile zilizosababishwa na kuzaliana, ilhali mafarao walikuwa na desturi kuoa dada zao. Wazazi wake walikuwa kaka na dada. <ref>Hawass Z. ''et al'' 2010. Ancestry and pathology in King Tutankhamun's family. Supreme Council of Antiquities, Cairo, Egypt. ''JAMA''. '''303'''(7):638-47. </ref> Sababu ya mwisho ya kifo chake bado haijulikani.

== Nyumba mpya katika Jumba la kumbukumbu la Cairo ==
== Nyumba mpya katika Jumba la kumbukumbu la Kairo ==
Mnamo 1922 Howard Carter alikuta kaburi la Tutankhamun. Makaburi yote ya mafarao wa Misri yaliporwa tangu zamani. Hapa ni mara ya kwanza kaburi liligunduliwa na kufunguliwa ambalo lilikuwa katika hali asilia. Uchunguzi wa viti vilivyokaa ndaniy ake ulileta utajiri wa habari kuhusu maisha ya Misri ya Kale; vitu vingi kutoka kaburi vinaonyeshwa katika jumba la kumbukumbu la Misri mjini Kairo.
Mnamo 2014 Jumba la kumbukumbu la Misri huko [[Kairo|Cairo]] lilifungua ukumbi nne mpya kwenye Jumba la sanaa la Tutankhamun. <ref>[https://www.bbc.co.uk/news/entertainment-arts-30493177 BBC News: Egypt unveils renovated Tutankhamun gallery]</ref>

Mnamo 2014 Jumba la kumbukumbu la Misri huko [[Kairo]] lilifungua ukumbi nne mpya kwenye Jumba la sanaa la Tutankhamun. <ref>[https://www.bbc.co.uk/news/entertainment-arts-30493177 BBC News: Egypt unveils renovated Tutankhamun gallery]</ref>

== Marejeo ==
== Marejeo ==

Pitio la 17:41, 4 Machi 2021

Mask ya mazishi ya Tutankhamun
Kaburi la Tutankhamun katika Bonde la Wafalme

Tutankhamun (Tutankhaten, Tutankhamen) alikuwa farao wa Misri ya Kale. [1] Alitawala tangu alipokuwa na umri wa miaka tisa (1334 KK) hadi alipokufa (1323 KK). Alikuwa farao wa nasaba ya 18 (familia ya kifalme) wakati wa Ufalme Mpya . Yeye ni mashuhuri kwa sababu kaburi lake ni kaburi la pekee la makaburi yote ya kifalme ya Misri ya Kale lililohifadhiwa bila kuporwa hadi karne ya 20.

Tutankhamun alikuwa mtoto wa Farao Akhenaten na mmoja wa dada za Akhenaten, [2] au labda mmoja wa binamu zake, Kiya.

Tutankhamun alitawala kwa miaka 9 na alikufa kijana, akiwa na miaka 19. Alikuwa amemwoa dada yake aliyezaliwa na Ankhesenamun, binti ya Malkia Nefertiti, mama yake wa kambo.

Howard Carter akichungulia jeneza la Tutankhamen

Katika mwaka wake wa tatu wa ufalme wake, Tutankhamun alirudisha nyuma mabadiliko kadhaa yaliyoanzishwa wakati wa utawala wa baba yake. Alimaliza ibada ya mungu Aten na kurudisha ukuu wa mungu Amun. Ibada za Amun ziliruhusiwa tena na marupurupu ya kimapokeo yalirudishwa kwa ukuhani wake. Mji mkuu ulirudi Thebes na mji wa Akhetaten uliachwa.

Alibadilisha pia jina lake mwenyewe kutoka Tutankh-Aten kuwa Tutank-Amun akiimarisha urejeshwaji wa ibada ya Amun.

Ugonjwa na kifo

Uchunguzi wa hivi karibuni wa mwili wake kwa kutumia uchunguzi wa CT na vipimo vya DNA vinaonyesha kuwa alikuwa na watoto wawili, lakini walikufa wakiwa wadogo sana. Wanasayansi sasa wanaamini alikufa kutokana na mguu uliovunjika, uliofanywa kuwa mgumu zaidi na ugonjwa wa mifupa na malaria . [3] Kabla ya ugunduzi huu kulikuwa na nadharia nyingi juu ya kifo chake mapema, pamoja na mauaji. Ni hakika kabisa kwamba aliambukizwa na aina kadhaa za malaria, na uwezekano mkubwa kwamba alikuwa na kasoro za maumbile zilizosababishwa na kuzaliana, ilhali mafarao walikuwa na desturi kuoa dada zao. Wazazi wake walikuwa kaka na dada. [4] Sababu ya mwisho ya kifo chake bado haijulikani.

Nyumba mpya katika Jumba la kumbukumbu la Kairo

Mnamo 1922 Howard Carter alikuta kaburi la Tutankhamun. Makaburi yote ya mafarao wa Misri yaliporwa tangu zamani. Hapa ni mara ya kwanza kaburi liligunduliwa na kufunguliwa ambalo lilikuwa katika hali asilia. Uchunguzi wa viti vilivyokaa ndaniy ake ulileta utajiri wa habari kuhusu maisha ya Misri ya Kale; vitu vingi kutoka kaburi vinaonyeshwa katika jumba la kumbukumbu la Misri mjini Kairo.

Mnamo 2014 Jumba la kumbukumbu la Misri huko Kairo lilifungua ukumbi nne mpya kwenye Jumba la sanaa la Tutankhamun. [5]

Marejeo

  1. Clayton, Peter A. 2006. Chronicle of the Pharaohs: the reign-by-reign record of the rulers and dynasties of Ancient Egypt. Thames & Hudson. ISBN 978-0-500-28628-9
  2. Hawass, Zahi (2010). "Ancestry and Pathology in King Tutankhamun's Family" 303. ku. 640–641. Iliwekwa mnamo 21 October 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Hasan, Lama (2010). "How King Tut died revealed in new study". ABC World News. ABC. Iliwekwa mnamo December 10, 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. Hawass Z. et al 2010. Ancestry and pathology in King Tutankhamun's family. Supreme Council of Antiquities, Cairo, Egypt. JAMA. 303(7):638-47.
  5. BBC News: Egypt unveils renovated Tutankhamun gallery