Ulafi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kuondoa matini iliyohusu upande wa kimwili
Tag: 2017 source edit
No edit summary
 
Mstari 8: Mstari 8:
Inakadiriwa kuwa siku hizi mtu 1 kati ya 3 anakula kuliko [[mwili]] wake unavyohitaji, na hivyo anasababisha [[maradhi]] mbalimbali yampate.
Inakadiriwa kuwa siku hizi mtu 1 kati ya 3 anakula kuliko [[mwili]] wake unavyohitaji, na hivyo anasababisha [[maradhi]] mbalimbali yampate.


Upande wa [[maadili]] unahesabiwa kuwa kimojawapo kati ya makosa, katika mapokeo ya Wakristo kadhaa uko kati ya [[mizizi ya dhambi]].
Upande wa [[maadili]] unahesabiwa kuwa [[dhambi]], tena kimojawapo kati ya [[vilema vikuu]], ambavyo katika [[mapokeo]] ya [[Wakristo]] mbalimbali ni [[mizizi ya dhambi]] nyingine, hata kubwa zaidi.


{{mbegu}}
{{mbegu}}

Toleo la sasa la 11:06, 3 Machi 2021

Makala hii inahusu mtazamo wa mtu. Kuhusu matokeo ya kimwili ona unene wa kupindukia, ulevi

Sehemu inayohusu ulafi katika mchoro wa Hieronymus Bosch kuhusu vilema vikuu saba na vikomo vinne vya binadamu.
Vilema vikuu

Ulafi (pamoja na ulevi) ni hamu isiyoratibiwa ya kula (na kunywa).

Tabia hiyo ina madhara makubwa kwa afya ya binadamu.

Inakadiriwa kuwa siku hizi mtu 1 kati ya 3 anakula kuliko mwili wake unavyohitaji, na hivyo anasababisha maradhi mbalimbali yampate.

Upande wa maadili unahesabiwa kuwa dhambi, tena kimojawapo kati ya vilema vikuu, ambavyo katika mapokeo ya Wakristo mbalimbali ni mizizi ya dhambi nyingine, hata kubwa zaidi.