Ulafi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.187.181.155 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Legobot
Tag: Rollback
kuondoa matini iliyohusu upande wa kimwili
Tag: 2017 source edit
Mstari 1: Mstari 1:
<sup> Makala hii inahusu mtazamo wa mtu. Kuhusu matokeo ya kimwili ona [[unene wa kupindukia]], [[ulevi]]</sup>
[[File:Hieronymus Bosch 094.jpg|thumb|left|300px|Sehemu inayohusu ulafi katika mchoro wa [[Hieronymus Bosch]] kuhusu [[vilema vikuu]] saba na [[vikomo]] vinne vya binadamu.]]
[[File:Hieronymus Bosch 094.jpg|thumb|left|300px|Sehemu inayohusu ulafi katika mchoro wa [[Hieronymus Bosch]] kuhusu [[vilema vikuu]] saba na [[vikomo]] vinne vya binadamu.]]
{{Vilema vikuu}}
{{Vilema vikuu}}
Mstari 7: Mstari 8:
Inakadiriwa kuwa siku hizi mtu 1 kati ya 3 anakula kuliko [[mwili]] wake unavyohitaji, na hivyo anasababisha [[maradhi]] mbalimbali yampate.
Inakadiriwa kuwa siku hizi mtu 1 kati ya 3 anakula kuliko [[mwili]] wake unavyohitaji, na hivyo anasababisha [[maradhi]] mbalimbali yampate.

Upande wa [[maadili]] unahesabiwa kuwa kimojawapo kati ya [[kilema|vilema]] vikuu, ambavyo ni [[mizizi ya dhambi]] nyingine.
Upande wa [[maadili]] unahesabiwa kuwa kimojawapo kati ya makosa, katika mapokeo ya Wakristo kadhaa uko kati ya [[mizizi ya dhambi]].

{{mbegu}}
{{mbegu}}

Pitio la 06:02, 3 Machi 2021

Makala hii inahusu mtazamo wa mtu. Kuhusu matokeo ya kimwili ona unene wa kupindukia, ulevi

Sehemu inayohusu ulafi katika mchoro wa Hieronymus Bosch kuhusu vilema vikuu saba na vikomo vinne vya binadamu.
Vilema vikuu

Ulafi (pamoja na ulevi) ni hamu isiyoratibiwa ya kula (na kunywa).

Tabia hiyo ina madhara makubwa kwa afya ya binadamu.

Inakadiriwa kuwa siku hizi mtu 1 kati ya 3 anakula kuliko mwili wake unavyohitaji, na hivyo anasababisha maradhi mbalimbali yampate.

Upande wa maadili unahesabiwa kuwa kimojawapo kati ya makosa, katika mapokeo ya Wakristo kadhaa uko kati ya mizizi ya dhambi.