Shaba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
png -> svg
No edit summary
 
Mstari 18: Mstari 18:
}}
}}


'''Shaba ''' au '''shaba nyekundu''' (pia: '''Kupri''' au '''Cupri''' kama jina la kisayansi) ni [[elementi]] yenye namba atomia '''29''' kwenye [[mfumo radidia]], uzani atomia ni 65.54. Alama yake ni '''CU'''.
'''Shaba ''' au '''shaba nyekundu''' (pia: '''Kupri''' au '''Cupri''' kama [[jina la kisayansi]]) ni [[elementi]] yenye [[namba atomia]] '''29''' kwenye [[mfumo radidia]], [[uzani atomia]] ni 65.54. [[Alama]] yake ni '''Cu'''.


Katika mazingira ya kawaida ni [[metali]] yenye rangi kahawia nyekundu. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,083 [[C°]].
Katika [[mazingira]] ya kawaida ni [[metali]] yenye [[rangi]] ya [[kahawia]] [[nyekundu]]. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,083 [[C°]].


Ni kati ya metali za kwanza wanadamu walitumia baada ya kutoka katika [[zama za mawe]]. Si metali ngumu zana hivyo ilikuwa nyepesi ya kushughulikia kwa wanadamu wa kale.
Ni kati ya metali za kwanza [[wanadamu]] walizotumia baada ya kutoka katika [[zama za mawe]]. Si metali ngumu sana, hivyo ilikuwa nyepesi kushughulikiwa na wanadamu wa kale.


Ikichanganywa na [[stani]] kunatokea [[aloi]] ya [[bronzi]] ambayo ni ngumu zaidi. Aloi nyingine ni [[shaba nyeupe]], mchanganyo wa shaba nyekundu na [[zinki]].
Ikichanganywa na [[stani]] kunatokea [[aloi]] ya [[bronzi]] ambayo ni ngumu zaidi. Aloi nyingine ni [[shaba nyeupe]], mchanganyo wa shaba nyekundu na [[zinki]].
Mstari 32: Mstari 32:
Siku hizi shaba huchimbwa hasa katika nchi za [[Chile]] (Chuquicamata), [[Marekani]], [[Urusi]], [[Afrika ya Kati]] ("Copperbelt" - kanda la shaba), [[Congo-Zaire]], [[Zambia]], [[Kanada]] na [[Peru]].
Siku hizi shaba huchimbwa hasa katika nchi za [[Chile]] (Chuquicamata), [[Marekani]], [[Urusi]], [[Afrika ya Kati]] ("Copperbelt" - kanda la shaba), [[Congo-Zaire]], [[Zambia]], [[Kanada]] na [[Peru]].


==Picha==
<gallery>
<gallery>
file:Cu,29.jpg|Punje ndogo za shaba: shaba inaweza kutokea kwa rangi nyekundunyekundu; ikikaa hewani hubadilika kuwa na rangi ya machungwa mabivu
file:Cu,29.jpg|Punje ndogo za shaba: shaba inaweza kutokea kwa rangi nyekundunyekundu; ikikaa hewani hubadilika kuwa na rangi ya machungwa mabivu
Mstari 37: Mstari 38:
File:Cuivre Michigan.jpg|Kupri
File:Cuivre Michigan.jpg|Kupri
</gallery>
</gallery>
[[Jamii:Metali adimu]]

[[Jamii:Elementi]]
[[Jamii:Elementi]]
[[Jamii:Metali]]
[[Jamii:Metali]]

Toleo la sasa la 12:00, 24 Februari 2021


Shaba au Kupri (cuprum)
Jina la Elementi Shaba au Kupri (cuprum)
Alama Cu
Namba atomia 29
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 65.54
Valensi 2, 8, 18, 1
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 1357.77 K (1084.62°C)
Kiwango cha kuchemka 2835 K (2562 °C)
Asilimia za ganda la dunia 0.01 %
Hali maada mango

Shaba au shaba nyekundu (pia: Kupri au Cupri kama jina la kisayansi) ni elementi yenye namba atomia 29 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 65.54. Alama yake ni Cu.

Katika mazingira ya kawaida ni metali yenye rangi ya kahawia nyekundu. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,083 .

Ni kati ya metali za kwanza wanadamu walizotumia baada ya kutoka katika zama za mawe. Si metali ngumu sana, hivyo ilikuwa nyepesi kushughulikiwa na wanadamu wa kale.

Ikichanganywa na stani kunatokea aloi ya bronzi ambayo ni ngumu zaidi. Aloi nyingine ni shaba nyeupe, mchanganyo wa shaba nyekundu na zinki.

Wakati mwingine shaba hupatikana kama metali tupu lakini mara nyingi zaidi kama mtapo.

Tabia muhimu ya shaba ni uwezo wake wa kupitisha umeme. Hivyo imekuwa msingi wa teknolojia yote ya umeme hasa nyaya za kila aina.

Siku hizi shaba huchimbwa hasa katika nchi za Chile (Chuquicamata), Marekani, Urusi, Afrika ya Kati ("Copperbelt" - kanda la shaba), Congo-Zaire, Zambia, Kanada na Peru.

Picha[hariri | hariri chanzo]