Jinai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1: Mstari 1:
'''Jinai''' ni kitendo kinachofanywa na [[Binadamu|mtu]] ambacho ni kinyume na [[sheria]] za [[nchi]] au eneo. Kwa hiyo jinai inafafanuliwa na [[sheria]] inayotaja matendo maalum kuwa vile.
'''Jinai''' ni kitendo kinachofanywa na [[Binadamu|mtu]] ambacho ni kinyume na [[sheria]] za [[nchi]] au eneo. Kwa hiyo jinai inafafanuliwa na [[sheria]] inayotaja matendo maalum kuwa vile<ref>[https://sheriakiganjani.co.tz/page.php?key=226<nowiki> Nini maana ya jinai?], tovuti ya Sheria Kiganjani, inayotolewa na Tanganyika Law Society</nowiki></ref>.


Matendo yanayotajwa kama jinai hutazamiwa kuwa hatari ya amani katika jamii na pia kuvunja haki za watu. Kwa hiyo katika mifumo ya sheria ya kisasa [[dola]] linalenga kulinda amani na haki kwa kutunga sheria zinazokataza jinai.
Matendo yanayotajwa kama jinai hutazamiwa kuwa hatari ya amani katika jamii na pia kuvunja haki za watu. Kwa hiyo katika mifumo ya sheria ya kisasa [[dola]] linalenga kulinda amani na haki kwa kutunga sheria zinazokataza jinai. Kwa hiyo si kazi ya mtu aliyepata madhata kufuatilia jinai, bali ni kazi ya dola.<ref>[https://sheriakiganjani.co.tz/uploads/97731-jinai.pdf Wakili Manace Ndoroma: Kosa la jinai, maelezo na ufafanuzi]</ref>


Kwa kawaida tendo fulani linahitaji kutendwa pamoja na nia ya kuvunja sheria ili kutajwa jinai. Hata hivyo, pia matendo maalum yanayotendwa "kwa namna ya kutokuwa mwangalifu au kupuuza kwa kiasi cha kuhatarisha maisha ya binadamu au kusababisha dhara kwa mtu mwingine yeyote"<ref>Kanuni ya Adhabu Tanzania (Penal Code , Chapter 16 of the Laws (revised), Jinai kwa kutojali na kupuuza, ss. 233. ([https://sheriakwakiswahili.blogspot.com/p/downloads.html<nowiki> online hapa])</ref> yanaweza kuangaliwa kama jinai.
Kwa kawaida tendo fulani linahitaji kutendwa pamoja na nia ya kuvunja sheria ili kutajwa jinai. Hata hivyo, pia matendo maalum yanayotendwa "kwa namna ya kutokuwa mwangalifu au kupuuza kwa kiasi cha kuhatarisha maisha ya binadamu au kusababisha dhara kwa mtu mwingine yeyote"<ref>Kanuni ya Adhabu Tanzania (Penal Code , Chapter 16 of the Laws (revised), Jinai kwa kutojali na kupuuza, ss. 233. ([https://sheriakwakiswahili.blogspot.com/p/downloads.html<nowiki> online hapa])</ref> yanaweza kuangaliwa kama jinai.

Pitio la 23:33, 21 Februari 2021

Jinai ni kitendo kinachofanywa na mtu ambacho ni kinyume na sheria za nchi au eneo. Kwa hiyo jinai inafafanuliwa na sheria inayotaja matendo maalum kuwa vile[1].

Matendo yanayotajwa kama jinai hutazamiwa kuwa hatari ya amani katika jamii na pia kuvunja haki za watu. Kwa hiyo katika mifumo ya sheria ya kisasa dola linalenga kulinda amani na haki kwa kutunga sheria zinazokataza jinai. Kwa hiyo si kazi ya mtu aliyepata madhata kufuatilia jinai, bali ni kazi ya dola.[2]

Kwa kawaida tendo fulani linahitaji kutendwa pamoja na nia ya kuvunja sheria ili kutajwa jinai. Hata hivyo, pia matendo maalum yanayotendwa "kwa namna ya kutokuwa mwangalifu au kupuuza kwa kiasi cha kuhatarisha maisha ya binadamu au kusababisha dhara kwa mtu mwingine yeyote"[3] yanaweza kuangaliwa kama jinai.

Ilhali kila jinai inavunja sheria, siyo kila unvunjaji wa sheria inayohesabiwa kama jinai. Kuvunja sheria za biashara na mikataba baina ya watu inaweza kufuatiliwa kwa kesi za madai mbele ya mahakama, lakini mara nyingi hazifuatiliwi mara moja na vyombo vya dola.

Kutokea kwa jinai kunahitaji kuthibitiishwa na mahakama au jaji anayeangalia mashtaka dhidi ya mtu na kutoa hukumu ambako hatia fulani kulingana na sheria inathibitishwa au kukataliwa. Kama mkosaji anahukumiwa kuwa na hatia, jaji ataamua kuhusu adhabu yake. Sheria za jinai hutaja adhabu maalumu kwa kila aina ya kosa, ilhali jaji kwa kawaida ana chaguo fulani kuamulia kiwango cha ajabu.

Kujisomea

Marejeo

  1. [https://sheriakiganjani.co.tz/page.php?key=226 Nini maana ya jinai?], tovuti ya Sheria Kiganjani, inayotolewa na Tanganyika Law Society
  2. Wakili Manace Ndoroma: Kosa la jinai, maelezo na ufafanuzi
  3. Kanuni ya Adhabu Tanzania (Penal Code , Chapter 16 of the Laws (revised), Jinai kwa kutojali na kupuuza, ss. 233. (<nowiki> online hapa)