Tofauti kati ya marekesbisho "Charles Sacleux"

Jump to navigation Jump to search
150 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
Rescuing 0 sources and tagging 2 as dead.) #IABot (v2.0.8
(Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8)
(Rescuing 0 sources and tagging 2 as dead.) #IABot (v2.0.8)
Sacleux alikuwa padre wa [[shirika ya Roho Mtakatifu]].
 
Sacleux alikuwa misionari mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya [[Kiswahili]]. Alitunga sarufi na [[kamusi ya Kiswahili]]. Mwaka 1891 alitunga kamusi ya "Dictionnaire Swahili - Français" iliyochapishwa 1939<ref>[http://www.uni-leipzig.de/~afrika/swafo/documents/Sacleux1939_small_size_290_MB.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }} Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya [[Chuo Kikuu cha Leipzig]]]</ref>. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.
 
Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika kanisa katoliki.
*[http://nn.wikipedia.org/wiki/Brukar:Dittaeva/Afrikastudier/Modul_C/stubbar_fr%C3%A5_pensum Amidu kuhusu Sacleux]
*[http://www.missie-geest.nl/Bagamoyo.htm Kazi ya Sacleux huko Bagamoyo]{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}
*[http://www.uni-leipzig.de/~afrika/swafo/documents/Sacleux1939_small_size_290_MB.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }} Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya [[Chuo Kikuu cha Leipzig]]]
 
[[Jamii:Kamusi za Kiswahili]]

Urambazaji