Mnyoo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 19: Mstari 19:
* [[Mnyoo-bapa|Minyoo-bapa]]
* [[Mnyoo-bapa|Minyoo-bapa]]
* [[Mnyoo-kichocho|Minyoo-kichocho]]
* [[Mnyoo-kichocho|Minyoo-kichocho]]
* [[Mnyoo-kuru|Minyoo-kuru]] (kama [[mnyoo-matumbo mkubwa]])
* [[Mnyoo-kuru|Minyoo-kuru]] (kama [[mnyoo-matumbo Mkubwa]])
* [[Mnyoo-mkonga|Minyoo-mkonga]]
* [[Mnyoo-mkonga|Minyoo-mkonga]]
* [[Mnyoo wa Gini]]
* [[Mnyoo wa Gini]]

Pitio la 19:47, 20 Januari 2021

Mnyoo
Mnyoo-matumbo mkubwa (Ascaris lubricoides)
Mnyoo-matumbo mkubwa (Ascaris lubricoides)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Nusuhimaya: Eumetazoa
Ngazi za chini

Faila 4:

Minyoo ni wanyama wa aina za invertebrata zenye mwili laini, mrefu na mwembamba bila miguu. Huainishwa katika faila mbalimbali kama vile Nematoda, Annelida, Hemichordata na Platyhelminthes.

Mifano ya minyoo ni kama ifuatayo:

Picha