Laura Bush : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
'''Laura Bush''' (jina la kuzaliwa: '''Laura Lane Welch''' amezaliwa tar. 4 Novemba, 1946 mjini Midland, Texas) ni mke wa rais wa Marekani Bw. George W. Bush. ...
 
Mstari 16: Mstari 16:
[[Category:Waliozaliwa 1946]]
[[Category:Waliozaliwa 1946]]
[[Category:Watu Walio Hai]]
[[Category:Watu Walio Hai]]

[[Category:Watu wa Marekani]]





Pitio la 16:43, 1 Machi 2008

Laura Bush.

Laura Bush (jina la kuzaliwa: Laura Lane Welch amezaliwa tar. 4 Novemba, 1946 mjini Midland, Texas) ni mke wa rais wa Marekani Bw. George W. Bush. Laura ni mtoto pekee wa mzee Harold Bruce Welch (1912-1995) na Jenna Louise Hawkins (aliz. 1919). Laura na George walikutana na kuoana mnamo mwaka wa 1977. Laura ni mama wa Barbara Bush na Jenna Bush, ambao walizaliwa mapacha mnamo mwaka 1981. Kabla ya kuwa mke wa Rais, Laura alikuwa akifanya kazi ya uwalimu wa shule katika mji wa Dallas na Austin, Texas.

Viungo vya nje