Arseni Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]].
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]].


[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kwa kawaida tarehe [[8 Mei]], isipokuwa na [[Wakopti|Wakhufi]]<ref>Martyrologium Romanum (2001), http://www.diocesisdecanarias.es/downloads/santosmartirologioenerojunio.pdf.</ref><ref>''[http://www.synaxarion.gr/gr/sid/3069/sxsaintinfo.aspx Ὁ Ὅσιος Ἀρσένιος ὁ Μέγας].'' 8 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.</ref>.
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kwa kawaida tarehe [[8 Mei]]<ref>''Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum'', Romae 2001, ISBN 8820972107</ref>, isipokuwa na [[Wakopti|Wakhufi]]<ref>Martyrologium Romanum (2001), http://www.diocesisdecanarias.es/downloads/santosmartirologioenerojunio.pdf.</ref><ref>''[http://www.synaxarion.gr/gr/sid/3069/sxsaintinfo.aspx Ὁ Ὅσιος Ἀρσένιος ὁ Μέγας].'' 8 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.</ref>.


==Maandishi==
==Maandishi==
Mstari 29: Mstari 29:
*''This article incorporates text from the 1913 ''[[Catholic Encyclopedia]]'' article "[[s:Catholic Encyclopedia (1913)/St. Arsenius|St. Arsenius]]" by A.J.B. Vuibert, a publication now in the [[public domain]].''
*''This article incorporates text from the 1913 ''[[Catholic Encyclopedia]]'' article "[[s:Catholic Encyclopedia (1913)/St. Arsenius|St. Arsenius]]" by A.J.B. Vuibert, a publication now in the [[public domain]].''
*[https://web.archive.org/web/20070210155019/http://catholic-forum.com/saints/sainta3l.htm Saint Arsenius] in Catholic Forum
*[https://web.archive.org/web/20070210155019/http://catholic-forum.com/saints/sainta3l.htm Saint Arsenius] in Catholic Forum

{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}

{{DEFAULTSORT:Arseni}}
{{DEFAULTSORT:Arseni}}
[[Category:Waliozaliwa 350]]
[[Category:Waliozaliwa 350]]

Pitio la 11:55, 20 Januari 2021

Mchoro wa ukutani kwenye mlima Athos, karne ya 14.

Arseni Mkuu, au Arseni shemasi au Arseni wa Scetis au Arseni Mrumi (Roma, 350/354 - Troe, Misri 445) alikuwa msomi na tajiri wa Roma ambaye, baada ya kulea watoto wa kaisari Theodosius I kwa miaka 11, alihamia jangwani huko Misri ili aishi kama mkaapweke kwa miaka 55.

Ni kati ya mababu wa jangwani walioacha athari kubwa zaidi katika maisha ya Kiroho ndani ya Kanisa[1], ndiyo sababu aliitwa "mkuu".

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kwa kawaida tarehe 8 Mei[2], isipokuwa na Wakhufi[3][4].

Maandishi

Kati ya vitabu alivyoandika, viwili vipo hadi leo: mwongozo wa maisha ya kimonaki (διδασκαλία και παραινεσις = Fundisho na Angalisho), na ufafanuzi wa Injili ya Luka (εις τον πειρασθεν νομικος = Kuhusu Kishawishi cha Sheria).

Mbali ya hivyo, misemo yake mingi inapatikana katika Apophthegmata Patrum.

Tazama pia

Tanbihi

  1. de Sales, St. Francis (2013). The Complete Introduction to the Devout Life. Brewster, Massachusetts: Paraclete Press. uk. 325. ISBN 1612612350. 
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  3. Martyrologium Romanum (2001), http://www.diocesisdecanarias.es/downloads/santosmartirologioenerojunio.pdf.
  4. Ὁ Ὅσιος Ἀρσένιος ὁ Μέγας. 8 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.

Vyanzo

Marejeo mengine

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.