Mtumiaji:Baba Tabita : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
template ya mkabidhi tu....
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:

Hadi Desemba 31, 2007, nimetoa michango zaidi ya elfu kumi na tano (15,000).
Hadi Desemba 31, 2007, nimetoa michango zaidi ya elfu kumi na tano (15,000).

Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia hii mwezi wa pili 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!

Pitio la 09:26, 1 Machi 2008

Lugha
de Dieser Benutzer spricht Deutsch als Muttersprache.
en-4 This user speaks English at a near-native level.
sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
nl-1 Deze gebruiker bezit elementaire kennis van het Nederlands.
fr-1 Cet utilisateur peut contribuer avec un niveau élémentaire de français.
Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)

Naitwa Oliver Stegen, nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.