10 Septemba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8 |
|||
Mstari 26: | Mstari 26: | ||
{{commons|September 10|Septemba 10}} |
{{commons|September 10|Septemba 10}} |
||
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/september/10 BBC: On This Day] |
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/september/10 BBC: On This Day] |
||
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=Sep&day=10 On this day in Canada] |
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=Sep&day=10 On this day in Canada] {{Webarchive|url=https://archive.is/20121209183906/http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=Sep&day=10 |date=2012-12-09 }} |
||
{{mbegu-historia}} |
{{mbegu-historia}} |
||
{{DEFAULTSORT:Septemba 10}} |
{{DEFAULTSORT:Septemba 10}} |
Pitio la 22:17, 17 Januari 2021
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Septemba ni siku ya 253 ya mwaka (ya 254 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 112.
Matukio
- 1974 - Nchi ya Guinea Bisau inapata uhuru rasmi kutoka Ureno
Waliozaliwa
- 1487 - Papa Julius III
- 1885 - Carl Van Doren, mwandishi kutoka Marekani
- 1892 - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 1917 - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani
- 1935 - Mary Oliver, mshairi kutoka Marekani
Waliofariki
- 1308 - Go-Nijo, mfalme mkuu wa Japani (1301-1308)
- 1918 - Karl Peters, mwanzilishi wa koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
- 1921 - John Tengo Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1975 - George Thomson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 1983 - Felix Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 2014 - Richard Kiel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nemesi wa Aleksandria, Nemesiani na wenzake, Pulkeria wa Konstantinopoli, Agabi wa Novara, Salvio wa Albi, Dodati, Nikola wa Tolentino, Ambrosi Edwadi Barlow n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |