Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 25: Mstari 25:


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
* [http://www.catholic-forum.com/saints/saintj61.htm Maisha yake kwa [[Kiingereza]] katika Catholic Forum]
* [http://www.catholic-forum.com/saints/saintj61.htm Maisha yake kwa [[Kiingereza]] katika Catholic Forum] {{Wayback|url=http://www.catholic-forum.com/saints/saintj61.htm |date=20070929200836 }}
* [http://www.newadvent.org/cathen/08503b.htm ''St. Josaphat Kuncevyc'' katika Catholic Encyclopedia]
* [http://www.newadvent.org/cathen/08503b.htm ''St. Josaphat Kuncevyc'' katika Catholic Encyclopedia]
* [http://saints.sqpn.com/saintj61.htm Patron Saints Index: ''Saint Josaphat'']
* [http://saints.sqpn.com/saintj61.htm Patron Saints Index: ''Saint Josaphat''] {{Wayback|url=http://saints.sqpn.com/saintj61.htm |date=20081210163817 }}


{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}

Pitio la 21:42, 17 Januari 2021

Mt. Yosafat akiwa amevaa kama askofu mkuu na ameshika tawi la mtende, ishara ya kifodini.

Yosafat wa Polotsk (1580 hivi – 1623) alikuwa askofu wa Polotsk (leo nchini Belarus).

Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 12 Novemba[1].

Maisha

Yosafat Kuntsevych (kwa Kibelarus Язафат Кунцэвіч, Jazafat Kuncevič) alizaliwa Wlodzimierz Wolynski katika mkoa wa Volinia (ulikuwa sehemu ya Lithuania, leo ni ya Ukraina) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya Waorthodoksi akaitwa Yohane katika ubatizo.

Baada ya kusoma Vilnius (Lithuania), mwaka 1604 alijiunga na Wakatoliki wa mashariki waliokubali mapatano ya muungano wa Brest yaliyoanzisha Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine. Akajiunga na wamonaki wa mtakatifu Basili Mkuu kwa jina la Yosafat.

Alipata upadri, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na Kanisa Katoliki kwa jumla.

Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi huo wa pekee wa kanisa lake hadi mwaka 1623 alipouawa na Waorthodoksi waliopinga umoja huo.

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. Martyrologium Romanum