Yohane wa Nepomuk : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 4: Mstari 4:
alikuwa [[padri]] wa [[Bohemia]] (leo nchini [[Ucheki]]). Aliuawa kwa kutoswa [[Mto|mtoni]] [[Vltava]] kutoka [[Daraja|darajani]] kwa agizo la [[mfalme]] [[Wenseslaus, mfalme wa Warumi]] na wa Bohemia.
alikuwa [[padri]] wa [[Bohemia]] (leo nchini [[Ucheki]]). Aliuawa kwa kutoswa [[Mto|mtoni]] [[Vltava]] kutoka [[Daraja|darajani]] kwa agizo la [[mfalme]] [[Wenseslaus, mfalme wa Warumi]] na wa Bohemia.


Baadaye ilisimuliwa kwamba alikuwa [[muungamishi]] wa [[malkia]] na kwamba alikataa ombi la mfalme la kutoboa [[siri]] za [[kitubio]]. Kwa msingi huo anahesabiwa kama [[mfiadini]] wa kwanza wa [[siri ya kitubio]] na [[msimamizi]] dhidi ya [[singizio|masingizio]].<ref name="JBohemia">{{cite web|title=Saint John of Nepomuk|first=Mgr. Luděk |last=Krčmář |url=http://www.sjn.cz/eng/birthplace.htm |publisher=SJN.cz |quote=If in 1369 John of Pomuk was a notary public, he must have been more than twenty years old. Thus he was probably born sometimes between 1340 and 1350 [1349].}}</ref>
Baadaye ilisimuliwa kwamba alikuwa [[muungamishi]] wa [[malkia]] na kwamba alikataa ombi la mfalme la kutoboa [[siri]] za [[kitubio]]. Kwa msingi huo anahesabiwa kama [[mfiadini]] wa kwanza wa [[siri ya kitubio]] na [[msimamizi]] dhidi ya [[singizio|masingizio]].<ref name="JBohemia">{{cite web |title=Saint John of Nepomuk |first=Mgr. Luděk |last=Krčmář |url=http://www.sjn.cz/eng/birthplace.htm |publisher=SJN.cz |quote=If in 1369 John of Pomuk was a notary public, he must have been more than twenty years old. Thus he was probably born sometimes between 1340 and 1350 [1349]. |accessdate=2017-02-21 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20160303190729/http://www.sjn.cz/eng/birthplace.htm |archivedate=2016-03-03 }}</ref>


Alitangazwa [[mwenye heri]] tarehe [[31 Mei]] [[1721]], halafu [[Papa Benedikto XIII]] alimtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[19 Machi]] [[1729]].
Alitangazwa [[mwenye heri]] tarehe [[31 Mei]] [[1721]], halafu [[Papa Benedikto XIII]] alimtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[19 Machi]] [[1729]].
Mstari 21: Mstari 21:
== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{commons|Saint John Nepomucene}}
{{commons|Saint John Nepomucene}}
* [http://www.sjn.cz/index.htm The "official" page of John of Nepomuk]
* [http://www.sjn.cz/index.htm The "official" page of John of Nepomuk] {{Wayback|url=http://www.sjn.cz/index.htm |date=20041011123451 }}
* [http://www.newadvent.org/cathen/08467a.htm ''Catholic Encyclopedia'' (1910): "St. John Nepomucene"] This provides a Catholic point of view
* [http://www.newadvent.org/cathen/08467a.htm ''Catholic Encyclopedia'' (1910): "St. John Nepomucene"] This provides a Catholic point of view
* [http://www.ccel.org/s/schaff/encyc/encyc06/htm/iii.lvii.lxxvii.htm ''Christian Classics Ethereal Library at Calvin College: "John of Nepomuk"] This provides a Protestant point of view. It was also the source of the initial version of this article.
* [http://www.ccel.org/s/schaff/encyc/encyc06/htm/iii.lvii.lxxvii.htm ''Christian Classics Ethereal Library at Calvin College: "John of Nepomuk"] This provides a Protestant point of view. It was also the source of the initial version of this article.

Pitio la 21:41, 17 Januari 2021

Mt. Yohane wa Nepomuk.
Kifodini cha Mt. Yohane wa Nepomuk kilivyochorwa na Szymon Czechowicz, National Museum in Warsaw, Polandi.

Yohane wa Nepomuk (kwa Kicheki: Jan Nepomucký; kwa Kijerumani: Johannes Nepomuk; kwa Kilatini: Ioannes Nepomucenus[1]) Nepomuk, 1345 hivi – Prague, 20 Machi 1393)[2] alikuwa padri wa Bohemia (leo nchini Ucheki). Aliuawa kwa kutoswa mtoni Vltava kutoka darajani kwa agizo la mfalme Wenseslaus, mfalme wa Warumi na wa Bohemia.

Baadaye ilisimuliwa kwamba alikuwa muungamishi wa malkia na kwamba alikataa ombi la mfalme la kutoboa siri za kitubio. Kwa msingi huo anahesabiwa kama mfiadini wa kwanza wa siri ya kitubio na msimamizi dhidi ya masingizio.[2]

Alitangazwa mwenye heri tarehe 31 Mei 1721, halafu Papa Benedikto XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 19 Machi 1729.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake, 20 Machi[3].

Tazama pia

Tanbihi

  1. Sanctus Johannes Nepomucenus Christi Heiliger Blut-Zeug. 1723. 
  2. 2.0 2.1 Krčmář, Mgr. Luděk. "Saint John of Nepomuk". SJN.cz. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2017-02-21. If in 1369 John of Pomuk was a notary public, he must have been more than twenty years old. Thus he was probably born sometimes between 1340 and 1350 [1349]. 
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.