Watakatifu wote : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 26: Mstari 26:
* [http://orthodoxengland.org.uk/sermalls.htm All Saints Sunday] Orthodox England
* [http://orthodoxengland.org.uk/sermalls.htm All Saints Sunday] Orthodox England
* [http://www.liturgy.co.nz/churchyear/allsaintsvigil.html A Vigil service for All Saints] All Hallows' E'en – "Halloween"
* [http://www.liturgy.co.nz/churchyear/allsaintsvigil.html A Vigil service for All Saints] All Hallows' E'en – "Halloween"
* [http://www.transfigcathedral.org/faith/Bulgakov/0621.pdf First Sunday after Pentecost, or All Saints Sunday] by Sergei Bulgakov, ''Handbook for Church Servers''
* [http://www.transfigcathedral.org/faith/Bulgakov/0621.pdf First Sunday after Pentecost, or All Saints Sunday] {{Wayback|url=http://www.transfigcathedral.org/faith/Bulgakov/0621.pdf |date=20070614033937 }} by Sergei Bulgakov, ''Handbook for Church Servers''
* [http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=48 Synaxis of All Saints] Icon and [[Synaxarion]] of the feast
* [http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=48 Synaxis of All Saints] Icon and [[Synaxarion]] of the feast



Pitio la 20:40, 17 Januari 2021

Watakatifu wote katika mchoro wa Fra Angelico.


Watakatifu wote (kwa Kigiriki: Αγίων Πάντων, Agiōn Pantōn)[1] ni sherehe ya liturujia katika madhehebu mengi ya Ukristo[2][3][4][5] inayoadhimishwa tarehe 1 Novemba katika Kanisa la Kilatini na madhehebu kadhaa ya Uprotestanti.

Desturi hiyo ya Ukristo wa magharibi inatokana na kwamba katika mwaka wa Kanisa mwezi Novemba ni wa mwisho, hivyo imeonekana inafaa kuutumia kutafakari juu ya mambo ya mwisho: kifo, hukumu, moto na mbingu. Watakatifu ni watu wanaosadikiwa wamekwishaingia huko Paradiso walau kwa roho yao, kama mhalifu aliyetubu karibu na Yesu msalabani.

Kumbe katika Ukristo wa mashariki huadhimishwa Jumapili ya kwanza baada ya Pentekoste, ili kusisitiza uhusiano wa utakatifu wa binadamu na Roho Mtakatifu. Ni yeye tu anayewawezesha kushinda dhambi katika maisha yao.

Walengwa wa heshima hiyo, baada ya Mungu aliyewatakasa kwa njia ya Yesu Kristo, ni watakatifu wote, wanaojulikana na wasiojulikana.

Ingawa kila mtakatifu anakumbukwa siku maalumu ya mwaka, sikukuu hii ya pamoja inasisitiza uzuri wa umoja wao mbinguni, pamoja na wingi wao, kama ulivyosisitizwa na Mtume Yohane katika Ufunuo. Hivyo ni chanzo cha tumaini jipya kwa binadamu wanaosafiri bado duniani kuelekea huko kati ya majaribu mengi.

Tazama pia

Tanbihi

  1. St. John of Shanghai and San Francisco. "Homily on the Feast of All Saints of Russia". St. John Chrysostom Orthodox Church. 
  2. Roman Missal
  3. The Anglican Service Book. Good Shepherd Press. 1 September 1991. uk. 677. ISBN 0962995509. Iliwekwa mnamo 3 November 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Marty, Martin E. (2007). Lutheran questions, Lutheran answers: exploring Christian faith. Minneapolis: Augsburg Fortress. uk. 127. ISBN 978-0-8066-5350-1. Iliwekwa mnamo 2 November 2011. All Lutherans celebrate All Saints Day, and many sing, 'For all the saints, who from their labors rest…'  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. Willimon, William H. (2007). United Methodist Beliefs. Westminster John Knox Press. uk. 64. ISBN 9781611640618. Iliwekwa mnamo 30 October 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)

Marejeo

  • Langgärtner, Georg. "All Saints' Day". In The Encyclopedia of Christianity, edited by Erwin Fahlbusch and Geoffrey William Bromiley, 41. Vol. 1. Grand Rapids: Wm. B. Eerdmans, 1999. ISBN 0802824137.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watakatifu wote kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.