Tofauti kati ya marekesbisho "Mnyoo"

Jump to navigation Jump to search
1,712 bytes added ,  miezi 3 iliyopita
Badiliko la matini
(ChriKo alihamisha ukurasa wa Mnyoo hadi Mnyoo-matumbo Mkubwa: Kuna spishi nyingi za minyoo)
Tag: New redirect
 
(Badiliko la matini)
Tag: Removed redirect
{{uainishaji
#REDIRECT [[Mnyoo-matumbo Mkubwa]]
| rangi = #D3D3A4
| jina = Mnyoo
| picha = Ascaris lumbricoides.jpeg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo ya picha = Mnyoo-matumbo mkubwa (''Ascaris lubricoides'')
| himaya = [[Animalia]]
| nusuhimaya = [[Eumetazoa]]
| subdivision = '''Faila 4:'''<br>
* [[Annelida]]
* [[Hemichordata]]
* [[Nematoda]]
* [[Platyhelminthes]]
}}
'''Minyoo''' ni [[mnyama|wanyama]] wa aina za [[invertebrata]] zenye mwili laini,
mrefu na mwembamba bila [[mguu|miguu]]. Huainishwa katika [[faila]] mbalimbali kama vile [[Nematoda]], [[Annelida]], [[Hemichordata]] na [[Platyhelminthes]].
 
Mifano ya minyoo ni kama ifuatayo:
* [[Mnyoo-bapa|Minyoo-bapa]]
* [[Mnyoo-kichocho|Minyoo-kichocho]]
* [[Mnyoo-kuru|Minyoo-kuru]] (kama [[mnyoo-matumbo mkubwa]])
* [[Mnyoo-mkonga|Minyoo-mkonga]]
* [[Mnyoo wa Gini]]
* [[Daa (mnyoo)|Daa]]
* [[Mchango|Michango]]
* [[Mwata]]
* [[Nyungunyungu]]
* [[Ruba wa ini]]
* [[Rusu]]
* [[Safura]]
* [[Tegu]]
 
==Picha==
<gallery>
Pseudoceros dimidiatus.jpg|Mnyoo-bapa (''Pseudoceros dimidiatus'')
20 Schistosoma mansoni.tif|Mnyoo-kichocho (''Schistosoma mansoni'')
Steinernema carpocapsae activation.tif|Mnyoo-kuru (''Steinernema carpocapsae'')
Glossobalanus sp..jpg|Mnyoo-mkonga (''Glossobalanus'' sp.)
Dracunculus medinensis.jpg|Mnyoo wa Gini akitolewa katika mguu (''Dracunculus medinensis'')
Arenicola marina.JPG|Daa (''Arenicola marina'')
Lagis koreni (with and without tube).jpg|Mwata (''Lagis koreni'')
Eisenia foetida R.H. (2).JPG|Nyungunyungu (''Eisenia fetidae'')
Fasciola hepatica2.jpg|Ruba wa ini (''Fasciola hepatica'')
Enterobius vermicularis (YPM IZ 093279).jpeg|Rusu (''Enterobius vermicularis'')
Hookworms.JPG|Safura (''Ancylostoma caninum'')
Taenia solium.jpg|Tegu (''Taenia solium'')
</gallery>
 
[[Jamii:Wanyama]]
10,700

edits

Urambazaji