Roseau : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: oc:Roseau
d roboti Nyongeza: be-x-old:Разо
Mstari 13: Mstari 13:


[[am:ሮዞ]]
[[am:ሮዞ]]
[[be-x-old:Разо]]
[[bg:Розо]]
[[bg:Розо]]
[[ca:Roseau]]
[[ca:Roseau]]

Pitio la 23:22, 28 Februari 2008

Roseau
Faili:Roseau na bandari pamoja na meli ya utalii.jpg
Roseau na bandari pamoja na meli ya utalii

Roseau ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani ya Dominica katika Karibi. Ni mji mdogo mwenye wakazi 14,000.

Iko upande wa magharibi wa kisiwa (kwenye 15°18'N - 61°23'W). Mji ulianzishwa na Ufaransa wakati wa karne ya 18 una majengo ya zamani za Wafaransa na pia za kisasa.