Makutupora (Manyoni) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1: Mstari 1:
<sup>Kuhusu kata ya Dodoma yenye jina la kufanana angalia hapa [[Makutupora]]</sup>
<sup>Kuhusu kata ya Dodoma yenye jina la kufanana angalia hapa [[Makutupora]]</sup>


'''Makutopora''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Manyoni]] katika [[Mkoa wa Singida]], [[Tanzania]] yenye [[msimbo wa posta]] '''43405'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode</ref>. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,635 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Singida - Manyoni District Council]</ref>
'''Makutopora''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Manyoni]] katika [[Mkoa wa Singida]], [[Tanzania]] yenye [[msimbo wa posta]] '''43405'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref>. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,635 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Singida - Manyoni District Council]</ref>


Makutopora iliteuliwa kuwa na kituo cha [[reli ya SGR Tanzania]], awamu ya pili ya reli hii ilianza kujengwa mwaka [[2019]] kati ya [[Morogoro]] na [[Dodoma]] - Makutupora<ref>[https://www.theeastafrican.co.ke/business/China-could-finance-part-of-tanzania-sgr-project/2560-5185404-1e7c77/index.html China could finance part of Tanzania’s SGR project], The East African, Saturday July 6 2019 </ref>.
Makutopora iliteuliwa kuwa na kituo cha [[reli ya SGR Tanzania]], awamu ya pili ya reli hii ilianza kujengwa mwaka [[2019]] kati ya [[Morogoro]] na [[Dodoma]] - Makutupora<ref>[https://www.theeastafrican.co.ke/business/China-could-finance-part-of-tanzania-sgr-project/2560-5185404-1e7c77/index.html China could finance part of Tanzania’s SGR project], The East African, Saturday July 6 2019 </ref>.

Pitio la 03:05, 17 Januari 2021

Kuhusu kata ya Dodoma yenye jina la kufanana angalia hapa Makutupora

Makutopora ni kata ya Wilaya ya Manyoni katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43405[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,635 waishio humo.[2]

Makutopora iliteuliwa kuwa na kituo cha reli ya SGR Tanzania, awamu ya pili ya reli hii ilianza kujengwa mwaka 2019 kati ya Morogoro na Dodoma - Makutupora[3].

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makutupora (Manyoni) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Kata za Wilaya ya Manyoni - Mkoa wa Singida - Tanzania

Chikola | Chikuyu | Heka | Isseke | Kintinku | Majiri | Makanda | Makuru | Makutupora | Manyoni | Maweni | Mkwese | Muhalala | Nkonko | Sanza | Saranda | Sasajila | Sasilo | Solya