Lisbon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+Montagem_de_Lisboa.png #WPWP #WPWPTZ
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 42: Mstari 42:
{{commonscat}}
{{commonscat}}
* [http://www.cm-lisboa.pt/ Tovuti rasmi ya Lisbon]
* [http://www.cm-lisboa.pt/ Tovuti rasmi ya Lisbon]
* [http://www.jordibusque.com/Index/Stories/AlfamaCastelo/AlfamaCastelo_01.html Alfama & Castelo]
* [http://www.jordibusque.com/Index/Stories/AlfamaCastelo/AlfamaCastelo_01.html Alfama & Castelo] {{Wayback|url=http://www.jordibusque.com/Index/Stories/AlfamaCastelo/AlfamaCastelo_01.html |date=20070513053242 }}
* [http://www.lisbonphotos.net/ Picha za Lisbon]
* [http://www.lisbonphotos.net/ Picha za Lisbon]
* [http://www.travel2lisbon.com/ Picha za Lisbon]
* [http://www.travel2lisbon.com/ Picha za Lisbon] {{Wayback|url=http://www.travel2lisbon.com/ |date=20060719195859 }}


{{mbegu-jio-Ureno}}
{{mbegu-jio-Ureno}}

Pitio la 01:49, 17 Januari 2021

Mji wa Lisbon







Lisbon

Bendera

Nembo
Majiranukta: 38°42′00″N 09°08′00″E / 38.70000°N 9.13333°E / 38.70000; 9.13333
Nchi Ureno
Mkoa Mkoa wa Lisbon
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 564,477
Tovuti:  http://www.cm-lisboa.pt/
Lisbon katika Ureno

Lisbon (kwa Kireno: Lisboa) ni mji mkuu wa Ureno, pia mji mkubwa wa nchi wenye wakazi 560,000; pamoja na rundiko la mji ni milioni mbili.

Mji uko kando ya mto Tejo kwenye kona ya kusini-magharibi ya Ulaya mwambaoni kwa Atlantiki.

Historia

Mji ulijulikana tangu karne ya 3 KK kwa jina la "Olispo". Wakati wa Dola la Roma ulikuwa mji mkuu wa jimbo la Lusitania.

  1. 719 ulitwaliwa na Waarabu.
  2. 1147 Lisbon ilitwaliwa na mfalme Mreno Dom Afonso Henriques.
  3. 1256 mfalme Afonso III alihamisha mji mkuu kutoka Coimbra kuja Lisbon.
  4. 1499 Vasco da Gama alirudi Lisbon kutoka safari yake ya kwanza ya Uhindi akaanzisha kipindi cha utajiri kwa Ureno na mji kutokana biashara ya kikoloni.
  5. Karne ya 16: Lisbon imekua na kuwa mji mkubwa duniani unaojulikana wakati ule wenye wakazi 350,000.
  6. 1 Novemba 1755 tetemeko la ardhi liliharibu theluthi mbili za mji na kuua watu 60,000.
  7. 5 Oktoba 1910 Jamhuri ya Ureno ilitangazwa Lisbon.
  8. 1926: mapinduzi ya kijeshi yalimaliza demokrasia na kuanzisha kipindi cha udikteta katika Ureno
  9. 1974: mapinduzi ya kijeshi yalimaliza udikteta na kuanzisha kipindi kipya cha demokrasia

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lisbon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.