Rukia yaliyomo

Krioli : Tofauti kati ya masahihisho

168 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
(Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
[[File:Guadeloupe creole 2010-03-30.JPG|thumb|Bango barabarani likitumia krioli ya [[Guadeloupe]].]]
'''Krioli''' (kwa [[Kiingereza]]: ''creole language'') ni jina la kutaja [[lugha]] yoyote<ref>[http://semantics.uchicago.edu/kennedy/classes/sum07/myths/creoles.pdf The study of pidgin and creole languages]</ref><ref>[{{Cite web |url=http://euljss.eul.edu.tr/euljss/si526.pdf |title=Language varieties: Pidgins and creoles] |accessdate=2019-10-05 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20180712173017/http://euljss.eul.edu.tr/euljss/si526.pdf |archivedate=2018-07-12 }}</ref><ref>[https://www.acsu.buffalo.edu/~jcgood/jcgood-JPCL.pdf Typologizing grammatical complexities, or Why creoles may be paradigmatically simple but syntagmatically average]</ref> iliyokua kutokana na lugha mbili au zaidi kukutana na kuingiliana. Hivyo inatokana na matumizi ya [[pijini]] kwa muda mrefu, yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini kwanza.
 
Kuna lugha za Krioli nyingi [[duniani]]. Lugha hizo huwa na miundo changamano. Pia zina [[msamiati]] mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.