Tofauti kati ya marekesbisho "Kigamboni"

Jump to navigation Jump to search
208 bytes added ,  miezi 2 iliyopita
Rescuing 1 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
(Rescuing 1 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8)
 
 
 
'''Kigamboni''' ni jina la [[Wilaya]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''17000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref> , pia jina la kata ndani yake iliyo na postikodi 17107. Hadi mwaka 2016 Kigamboni ilikuwa jina la kata pekee, na kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 30,496 waishio humo.<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf {{Wayback|url=http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf |date=20040102080416 }} Wilaya ya Temeke - Mkoa wa Dar es Salaam</ref>
 
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]].

Urambazaji