Arusha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d robot Adding: fa:آروشا
Mstari 16: Mstari 16:
[[en:Arusha]]
[[en:Arusha]]
[[es:Arusha]]
[[es:Arusha]]
[[fa:آروشا]]
[[fi:Arusha]]
[[fr:Arusha]]
[[fr:Arusha]]
[[gl:Arusha]]
[[gl:Arusha]]
[[nl:Arusha]]
[[ja:アルーシャ]]
[[ja:アルーシャ]]
[[nl:Arusha]]
[[pl:Arusha]]
[[pl:Arusha]]
[[fi:Arusha]]

Pitio la 04:37, 27 Juni 2006

Kwa matumizi tofauti ya neno "Arusha" tazama Arusha (maana)

Mji wa Arusha
Faili:Arusha.jpg
Arusha na mlima wa Meru

Mji wa Arusha ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970). Eneo lake ni 1400m juu ya uwiano wa bahari likiwa karibu na mlima wa Meru (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.

Arusha ina nafasi muhimu katika Historia ya Tanzania na Afrika. Mji umeanzishwa na Wajerumani mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961. Mw. 1967 chama tawala cha TANU kiliunga mkono Tamko la Arusha lililoanzisha kipindi cha Ujamaa. Kuanzia mw. 1967 hadi mw. 1977 Arusha ndipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki hadi kuanguka kwa umoja huu. Tangu mw. 1995 Mahakama ya Kimataifa ya Ruanda ina makao hapo. Arusha ni makao makuu ya KKKT, ambayo ni ofisi kuu ya Kanisa la Kiinjili Kiluteri Tanzania.

Viungo vya nje