Shajara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.
Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.

Kando ya shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ambazo huonyesha matukio ya [[shirika]] hilo.
Kando ya shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ("Logbook") ambazo huonyesha matukio ya [[shirika]] hilo. Wanafunzi baada ya kusoma kozi fulani, kabla ya kumaliza masomo yao wanatakiwa waende kwa Kiambatisho Cha Viwanda (Industrial Attachment) huwa wanahitajika kuandika matukio ya kila siku kwa muda wa miezi mitatu hivi katika Shajara.

[[mhasibu|Wahasibu]] pia huwa na shajara ambamo huandika [[pesa]] walizotumia kununua [[Kitu|vitu]] au zile ambazo zimeingia kwa shirika.
[[mhasibu|Wahasibu]] pia huwa na shajara ambamo huandika [[pesa]] walizotumia kununua [[Kitu|vitu]] au zile ambazo zimeingia kwa shirika.
Mstari 11: Mstari 11:

[[Jamii:Utamaduni]]
[[Jamii:Utamaduni]]

Shajara kwa Lugha ya Kiingereza ni "Logbook" kama vile wanafunzi baada ka kusoma kozi fulani, kabla ya kumaliza masomo yao wanatakiwa waende kwa Kiambatisho Cha Viwanda (Industrial Attachment) huwa wanahitajika kuandika matukio ya kila siku kwa muda wa miezi mitatu hivi katika Shajara.

Pitio la 09:53, 31 Desemba 2020

Shajara ya kale mwaka 1787

Shajara (kwa lugha ya Kiingereza: diary) ni kitabu maalumu ambamo mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani.

Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.

Kando ya shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ("Logbook") ambazo huonyesha matukio ya shirika hilo. Wanafunzi baada ya kusoma kozi fulani, kabla ya kumaliza masomo yao wanatakiwa waende kwa Kiambatisho Cha Viwanda (Industrial Attachment) huwa wanahitajika kuandika matukio ya kila siku kwa muda wa miezi mitatu hivi katika Shajara.

Wahasibu pia huwa na shajara ambamo huandika pesa walizotumia kununua vitu au zile ambazo zimeingia kwa shirika.