Burgenland : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:


== Jiografia ==
== Jiografia ==
Jimbo la Burgenland imepakana na Nchina ya Slovakia, Uhungaria na Slovenia na Majimbo wa [[Austria Chini]] na [[Steiermark]].
Jimbo la Burgenland limepakana na nchi za [[Slovakia]], [[Hungaria]] na [[Slovenia]] na majimbo ya [[Austria Chini]] na [[Steiermark]].


[[Eisenstadt]] ndio [[jiji]] kubwa tu lenye [[idadi]] ya wakazi zaidi ya 14,816.
[[Eisenstadt]] ndio [[jiji]] kubwa tu lenye [[idadi]] ya wakazi zaidi ya 14,816.


[[Leitha]], [[Wulka]] hii ni mito wa Burgenland
[[Leitha]], [[Wulka]] ndiyo [[mito]] wa Burgenland



== Picha za Salzburg ==
== Picha za Salzburg ==

Pitio la 05:29, 13 Desemba 2020

Burgenland (kwa Kijerumani pia: Burgenland) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 294.316 kwenye eneo la km² 3.965.

Mji mkuu ni Eisenstadt. Waziri mkuu ni Hans-Peter Doskozil (SPÖ).

Jiografia

Jimbo la Burgenland limepakana na nchi za Slovakia, Hungaria na Slovenia na majimbo ya Austria Chini na Steiermark.

Eisenstadt ndio jiji kubwa tu lenye idadi ya wakazi zaidi ya 14,816.

Leitha, Wulka ndiyo mito wa Burgenland

Picha za Salzburg

Tovuti za Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Burgenland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.