Euro : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Euro Series Banknotes (2019).jpg|thumb|200px|Noti za Euro.]]
[[Picha:Euro Series Banknotes (2019).jpg|thumb|200px|Noti zote za Euro.]]
[[Picha:Test Focus-Bracketing (31684916250).jpg|thumb|200px|Sarafu kutoka Euro]]
[[Picha:Test Focus-Bracketing (31684916250).jpg|thumb|200px|Sarafu zote kutoka Euro]]
[[Picha:Second serie 5, 10, 20, 50 Euro banknotes.jpg|thumb|200px|Euro.]]
[[Picha:Second serie 5, 10, 20, 50 Euro banknotes.jpg|thumb|200px|Noti za Euro 5, 10, 20, 50.]]
[[Picha:Euro_sign.svg|thumb|100px|Ishara ya Euro.]]
[[Picha:Euro_sign.svg|thumb|100px|Ishara ya Euro.]]
'''Euro''' ni [[sarafu (mfumo)|sarafu]] ya pamoja katika baadhi ya nchi za [[Ulaya]]. Wakazi wake 343,000,000 ([[2019]]) wanatumia kwa kawaida [[pesa]] hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa [[bara]]ni [[Afrika]].
'''Euro''' ni [[sarafu (mfumo)|sarafu]] ya pamoja katika baadhi ya nchi za [[Ulaya]]. Wakazi wake 343,000,000 ([[2019]]) wanatumia kwa kawaida [[pesa]] hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa [[bara]]ni [[Afrika]].

Pitio la 20:48, 11 Desemba 2020

Noti zote za Euro.
Sarafu zote kutoka Euro
Noti za Euro 5, 10, 20, 50.
Ishara ya Euro.

Euro ni sarafu ya pamoja katika baadhi ya nchi za Ulaya. Wakazi wake 343,000,000 (2019) wanatumia kwa kawaida pesa hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa barani Afrika.

Tangu mwaka 2002 nchi 13 za EU zilifuta sarafu ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 19.

Euro moja imegawanyika katika senti 100.

Kuna benknoti za € 5 (kijivu), € 10 (nyekundu), € 20 (buluu), € 50 (machungwa), € 100 (kijani), € 200 (njano), € 500 (nyekundu).

Kuna sarafu za metali 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.

Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya na ni sawa kote.

Sarafu zinatolewa na nchi wanachama na zinatofautiana upande mmoja, lakini sarafu zote hutumika kote.

Ishara ya Euro

Ishara ya Euro ni herufi ya Kigiriki epsilon (E) yenye mistari miwili ya kulala: .

Nchi wanachama wa Euro

Ramani ya uenezi wa Euro.
Noti za Euro.
Noti na sarafu za Euro.
  1. Austria
  2. Ubelgiji
  3. Ufini
  4. Ufaransa
  5. Ujerumani
  6. Ugiriki
  7. Ueire
  8. Italia
  9. Latvia
  10. Luxemburg
  11. Ureno
  12. Hispania
  13. Uholanzi
  14. Slovakia
  15. Slovenia
  16. Kupro
  17. Malta
  18. Estonia
  19. Lithuania


Nchi 6 zifuatazo hutumia pia Euro kama pesa pekee bila kuwa sehemu za mapatano, ila 4 za kwanza kwa makubaliano maalumu, nyingine 2 kwa kujiamulia:

Pesa za nchi zifuatazo zimeungwa na Euro:

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Euro kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.