Vienna : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 67: Mstari 67:
== Utamaduni ==
== Utamaduni ==
[[Picha:Wien - Stephansdom (1).JPG|thumb|right|200px|Kanisa Kuu la Mt. Stefano ni kati ya majengo mashuhuri ya Vienna.]]
[[Picha:Wien - Stephansdom (1).JPG|thumb|right|200px|Kanisa Kuu la Mt. Stefano ni kati ya majengo mashuhuri ya Vienna.]]
[[Picha:Schönbrunn Blick auf Gloriette.jpg|thumb|right|200px|Bustani ya ikulu ya "Schönbrunn" kwa mtazamo wa "Gloriette"]]
Kwa karne nyingi Vienna ilikuwa mji mkuu wa dola kubwa. Wafalme na ma[[kaisari]] wa familia ya [[Habsburg]] walitawala Dola Takatifu ya Kiroma hadi 1806 na baadaye na maeneo makubwa ya Ulaya ya kusini-mashariki hadi 1918. Hivyo Vienna ina majengo mazuri inayotunza kumbukumbu ya enzi za kale sio tu mji mkuu wa Austria ndogo ya leo.
Kwa karne nyingi Vienna ilikuwa mji mkuu wa dola kubwa. Wafalme na ma[[kaisari]] wa familia ya [[Habsburg]] walitawala Dola Takatifu ya Kiroma hadi 1806 na baadaye na maeneo makubwa ya Ulaya ya kusini-mashariki hadi 1918. Hivyo Vienna ina majengo mazuri inayotunza kumbukumbu ya enzi za kale sio tu mji mkuu wa Austria ndogo ya leo.


Watu wa Vienna hukumbuka wasanii walioishi katika mji wao kama watunga muziki [[Wolfgang Amadeus Mozart]], [[Ludwig van Beethoven]] na [[Johannes Brahms|Brahms]].
Watu wa Vienna hukumbuka wasanii walioishi katika mji wao kama watunga muziki [[Wolfgang Amadeus Mozart]], [[Ludwig van Beethoven]] na [[Johannes Brahms|Brahms]].

== Mbuga na bustani ==
[[Picha:Schönbrunn Blick auf Gloriette.jpg|thumb|right|200px|Bustani ya ikulu ya "Schönbrunn" kwa mtazamo wa "Gloriette"]]
Bustani kadhaa za shirikisho la Austria ziko Vienna.
Bustani maarufu zaidi ni Bustani ya Jumba la Schönbrunn, bustani zingine ni "Augarten", "Belvedere Garden", "Burggarten" na "Volksgarten".


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==

Pitio la 17:29, 28 Novemba 2020

Sehemu za Mji wa Vienna






Vienna

Bendera

Nembo
Vienna is located in Austria
Vienna
Vienna

Mahali pa mji wa Vienna katika Austria

Majiranukta: 48°12′N 16°22′E / 48.200°N 16.367°E / 48.200; 16.367
Nchi Austria
Jimbo Vienna
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,680,000
Tovuti:  www.wien.gv.at

Vienna (Kijer.: Wien) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Austria. Iko katika mashariki ya Austria kando la mto Danubi. Idadi ya wakazi imezidi milioni moja na lakhi sita. Vienna ina cheo cha jimbo ndani ya shirikisho la jamhuri ya Austria.

Vienna

Utawala

Vienna imegawiwa katika mitaa 23.

  1. Innere Stadt (Kitovu cha jiji)
  2. Leopoldstadt
  3. Landstraße
  4. Wieden
  5. Margareten
  6. Mariahilf
  7. Neubau
  8. Josefstadt
  9. Alsergrund
  10. Favoriten
  11. Simmering
  12. Meidling
  13. Hietzing
  14. Penzing
  15. Rudolfsheim-Fünfhaus
  16. Ottakring
  17. Hernals
  18. Währing
  19. Döbling
  20. Brigittenau
  21. Floridsdorf
  22. Donaustadt
  23. Liesing

Trafiki

Mstari wa tram 60 huko "Westbahnhof"
Ramani ya mtandao ya "U-Bahn", "S-Bahn", "Lokalbahn" na treni za mkoa huko Vienna, tarehe: 2020

Usafiri wa jiji la umma huko Vienna una "U-Bahn", "S-Bahn Vienna", trams na mabasi ya jiji, "" treni ya ndani "mfumo mchanganyiko wa tramu na treni za mkoa ambazo zinaanzia Vienna hadi mji mdogo" Baden inafanya kazi pamoja na treni za mkoa. Vituo muhimu vya treni za masafa marefu ni "Hauptbahnhof", "Bahnhof Meidling" na "Westbahnhof". Makocha wa masafa marefu hukimbia kwenye "Vienna International Busterminal" na katika "Busterminal Vienna", uwanja wa ndege uko nje ya jiji huko "Schwechat" huko Austria ya Chini, ambayo ina kituo chake cha gari moshi. Barabara za jiji pia zinaendesha Vienna.

Utamaduni

Kanisa Kuu la Mt. Stefano ni kati ya majengo mashuhuri ya Vienna.

Kwa karne nyingi Vienna ilikuwa mji mkuu wa dola kubwa. Wafalme na makaisari wa familia ya Habsburg walitawala Dola Takatifu ya Kiroma hadi 1806 na baadaye na maeneo makubwa ya Ulaya ya kusini-mashariki hadi 1918. Hivyo Vienna ina majengo mazuri inayotunza kumbukumbu ya enzi za kale sio tu mji mkuu wa Austria ndogo ya leo.

Watu wa Vienna hukumbuka wasanii walioishi katika mji wao kama watunga muziki Wolfgang Amadeus Mozart, Ludwig van Beethoven na Brahms.

Mbuga na bustani

Bustani ya ikulu ya "Schönbrunn" kwa mtazamo wa "Gloriette"

Bustani kadhaa za shirikisho la Austria ziko Vienna. Bustani maarufu zaidi ni Bustani ya Jumba la Schönbrunn, bustani zingine ni "Augarten", "Belvedere Garden", "Burggarten" na "Volksgarten".

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vienna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Austria
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg