Vienna : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
|||
Mstari 61: | Mstari 61: | ||
== Trafiki == |
== Trafiki == |
||
[[Picha:Wien-wiener-linien-sl-60-1103062.jpg|thumb|right|250px|Mstari wa tram 60 huko "Westbahnhof"]] |
[[Picha:Wien-wiener-linien-sl-60-1103062.jpg|thumb|right|250px|Mstari wa tram 60 huko "Westbahnhof"]] |
||
Usafiri wa jiji la umma huko Vienna una "U-Bahn", "S-Bahn Vienna", trams na mabasi ya jiji, "" treni ya ndani "mfumo mchanganyiko wa tramu na treni za mkoa ambazo zinaanzia Vienna hadi mji mdogo" Baden inafanya kazi pamoja na treni za mkoa. |
|||
== Utamaduni == |
== Utamaduni == |
Pitio la 17:16, 28 Novemba 2020
Vienna | |||
| |||
Mahali pa mji wa Vienna katika Austria |
|||
Majiranukta: 48°12′N 16°22′E / 48.200°N 16.367°E | |||
Nchi | Austria | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Vienna | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 1,680,000 | ||
Tovuti: www.wien.gv.at |
Vienna (Kijer.: Wien) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Austria. Iko katika mashariki ya Austria kando la mto Danubi. Idadi ya wakazi imezidi milioni moja na lakhi sita. Vienna ina cheo cha jimbo ndani ya shirikisho la jamhuri ya Austria.
Utawala
Vienna imegawiwa katika mitaa 23.
Trafiki
Usafiri wa jiji la umma huko Vienna una "U-Bahn", "S-Bahn Vienna", trams na mabasi ya jiji, "" treni ya ndani "mfumo mchanganyiko wa tramu na treni za mkoa ambazo zinaanzia Vienna hadi mji mdogo" Baden inafanya kazi pamoja na treni za mkoa.
Utamaduni
Kwa karne nyingi Vienna ilikuwa mji mkuu wa dola kubwa. Wafalme na makaisari wa familia ya Habsburg walitawala Dola Takatifu ya Kiroma hadi 1806 na baadaye na maeneo makubwa ya Ulaya ya kusini-mashariki hadi 1918. Hivyo Vienna ina majengo mazuri inayotunza kumbukumbu ya enzi za kale sio tu mji mkuu wa Austria ndogo ya leo.
Watu wa Vienna hukumbuka wasanii walioishi katika mji wao kama watunga muziki Wolfgang Amadeus Mozart, Ludwig van Beethoven na Brahms.
Viungo vya Nje
- Official Website of the city of Vienna (Kiingereza)
- Vienna. Pleasure and Melancholy A collection of extraordinary photos
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vienna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |