Blasi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
[[kifodini|Aliuawa]] kwa ajili ya [[imani]] yake ya [[Kikristo]] mwaka [[316]]. Ndiyo sababu anaheshimiwa na [[madhehebu]] mengi kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].
[[kifodini|Aliuawa]] kwa ajili ya [[imani]] yake ya [[Kikristo]] mwaka [[316]]. Ndiyo sababu anaheshimiwa na [[madhehebu]] mengi kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].


[[Sikukuu]] yake huadhimishwa na [[Ukristo wa magharibi]] tarehe [[3 Februari]], kumbe [[Ukristo wa Mashariki|mashariki]] tarehe [[11 Februari]].<ref name=kirsch>[http://www.newadvent.org/cathen/02592a.htm Kirsch, Johann Peter. "St. Blaise." The Catholic Encyclopedia. Vol. 2. New York: Robert Appleton Company, 1907. 3 Feb. 2013]</ref>
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa na [[Ukristo wa magharibi]] tarehe [[3 Februari]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>, kumbe [[Ukristo wa Mashariki|mashariki]] tarehe [[11 Februari]].<ref name=kirsch>[http://www.newadvent.org/cathen/02592a.htm Kirsch, Johann Peter. "St. Blaise." The Catholic Encyclopedia. Vol. 2. New York: Robert Appleton Company, 1907. 3 Feb. 2013]</ref>


==Tazama pia==
==Tazama pia==
Mstari 27: Mstari 27:
[[Category:Waliozaliwa karne ya 3]]
[[Category:Waliozaliwa karne ya 3]]
[[Category:Waliofariki 316]]
[[Category:Waliofariki 316]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Category:Wafiadini Wakristo]]
[[Category:Wafiadini Wakristo]]
[[Category:Watakatifu wa Armenia]]
[[Category:Watakatifu wa Armenia]]

Pitio la 07:30, 27 Novemba 2020

Mt. Blaise akimkabili gavana wa Kirumi, Soissons (Picardy, France), mwanzoni mwa karne ya 13.

Blasi (kwa Kiarmenia: Վլասի, Vlasi; kwa Kigiriki Βλάσιος, Vlasios) alikuwa mganga na askofu wa Sebastea katika Armenia Ndogo (leo Sivas, Uturuki).

Aliuawa kwa ajili ya imani yake ya Kikristo mwaka 316. Ndiyo sababu anaheshimiwa na madhehebu mengi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa na Ukristo wa magharibi tarehe 3 Februari[1], kumbe mashariki tarehe 11 Februari.[2]

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.