Maunzilaini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
I added content.
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Kipala alihamisha ukurasa wa Programu tete hadi Software: "programu tete" haijulikani, twende na neno la Kiingereza linalotumiwa na wote
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:31, 18 Novemba 2020

Programu tete (kwa Kiingereza: software) ni mkusanyo wa maelezo yasiyo tendaji yaliyotunzwa katika kumbukumbu ya tarakilishi ili kuweza kuchakata takwimu fulani pindi itakapohitajika kufanya hivyo.

Mfano wa programu tete ni Mifumo tendaji (Os) na Kamusi Kuu ya Kiswahili.

Programu tete ni kinyume cha vifaa.

Pia kuna nakala ngumu ambazo huzalishwa na vifaa vya TEHAMA kama vile Mashine za kunakili maandishi (Photocopy Machine) nakala hizo hutokana na nakala tete (Softcopy) ambazo aghalabu huundwa au hutunzwa kwenye tarakilishi

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.