Bunilizi ya kinjozi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
tafsiri
Mstari 1: Mstari 1:
'''Bunilizi ya kinjozi''' (au bunilizi ya kifantasia) ni [[utanzu]] fulani wa [[fasihi andishi]]. Katika [[bunilizi]] hiyo [[mwandishi]] anatumia ma[[tukio]] au wahusika wasio wa kawaida.
'''Bunilizi ya kinjozi''' (au bunilizi ya kifantasia, kwa [[Kiingereza]] ''phantasy'') ni [[utanzu]] fulani wa [[fasihi andishi]]. Katika [[bunilizi]] hiyo [[mwandishi]] anatumia ma[[tukio]] au wahusika wasio wa kawaida.

Mifano ya bunilizi ya ki[[njozi]] katika [[fasihi]] ya [[Kiingereza]] ni: "A Midsummer Night's Dream" (''[[Ndoto ya Usiku Mmoja]]'') ya [[William Shakespeare]], "Gulliver's Travels" (''[[Safari za Guliveri]]'') ya [[Jonathan Swift]], na "The Lord of the Rings" (''[[Bwana wa Mapete]]'') ya [[J.R.R. Tolkien]].

Pitio la 10:31, 10 Novemba 2020

Bunilizi ya kinjozi (au bunilizi ya kifantasia, kwa Kiingereza phantasy) ni utanzu fulani wa fasihi andishi. Katika bunilizi hiyo mwandishi anatumia matukio au wahusika wasio wa kawaida.

Mifano ya bunilizi ya kinjozi katika fasihi ya Kiingereza ni: "A Midsummer Night's Dream" (Ndoto ya Usiku Mmoja) ya William Shakespeare, "Gulliver's Travels" (Safari za Guliveri) ya Jonathan Swift, na "The Lord of the Rings" (Bwana wa Mapete) ya J.R.R. Tolkien.

Bunilizi ya kinjozi hutofautishwa na bunilizi ya kisayansi kwa vile haisifu mambo ya teknolojia bali inatumia maajabu na viumbe vya visasili.

Marejeo

  • Wamitila, K.W. 2003. Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia, Nairobi: Focus Books.