Athens : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Athens Acropolis.jpg|thumb|300px|Majengo ya [[Akropoli]] juu ya kilima iliyokuwa [[boma]] na [[mtaa]] wa ma[[hekalu]] ya Athens ya Kale. Huko [[Mtume Paulo]] alitoa [[hotuba]] maarufu ([[Mdo]] 17).]]
[[Picha:Athens Acropolis.jpg|thumb|300px|Majengo ya [[Akropoli]] juu ya kilima iliyokuwa [[boma]] na [[mtaa]] wa ma[[hekalu]] ya Athens ya Kale. Huko [[Mtume Paulo]] alitoa [[hotuba]] maarufu ([[Mdo]] 17).]]
'''Athens''' (kwa [[Kigiriki]] Αθήνα "Athina") ni [[mji mkuu]] wa [[Ugiriki]] (Uyunani), mji mkubwa wa nchi hii, na mojawapo kati ya [[miji]] mashuhuri ya [[dunia]] yenye [[historia]] ndefu tangu miaka elfuelfu.
'''Athens''' (pia: '''Athene''', '''Athini''', kwa [[Kigiriki]] Αθήνα "Athina") ni [[mji mkuu]] wa [[Ugiriki]] (Uyunani), [[mji]] mkubwa wa nchi hiyo, na mojawapo kati ya [[miji]] mashuhuri ya [[dunia]] yenye [[historia]] ndefu ya miaka elfu kadhaa.


Siku hizi mji una wakazi [[milioni]] 3.
Siku hizi mji una wakazi [[milioni]] 3.


==Jina==
==Jina==
Jina limetokana na [[mungu]] wa kike "[[Athena]]" aliyeabudiwa kama mungu wa [[elimu]] na wa [[vita]] zamani za [[Ugiriki wa Kale]].
[[Jina]] limetokana na [[miungu|mungu]] wa kike "[[Athena]]" aliyeabudiwa kama mungu wa [[elimu]] na wa [[vita]] zamani za [[Ugiriki wa Kale]].


== Historia ==
== Historia ==
Katika [[karne]] [[kabla ya Kristo]] Athens ulikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi [[Italia]] na [[Uturuki]] ya leo.
Katika [[karne]] [[kabla ya Kristo]] Athens ulikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi [[Italia]] na [[Uturuki]] ya leo.


Athens ilikuwa maarufu kwa [[wataalamu]] wake hasa [[wanafalsafa]] kama [[Sokrates]], [[Plato]] na [[Aristoteles]].
Athens ilikuwa maarufu kwa [[wataalamu]] wake, hasa [[wanafalsafa]] kama [[Sokrates]], [[Plato]] na [[Aristoteles]].


Kisiasa inaitwa asili ya [[demokrasia]].
[[Siasa|Kisiasa]] inaitwa [[asili]] ya [[demokrasia]].


Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa [[Dola la Roma]] na baada ya [[1453]] chini ya [[Dola la Uturuki]]. Hapo mji ukawa bila umuhimu wowote, tena ukakonda.
Baadaye ilikuwa chini ya [[utawala]] wa [[Dola la Roma]] na tangu [[mwaka]] [[1453]] chini ya [[Dola la Uturuki]]. Hapo mji ukawa hauna umuhimu wowote, hivi kwamba wakati wa [[uhuru]] wa Ugiriki mwaka [[1834]] ulikuwa na wakazi wapatao 1000 tu.


Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ukakua tena.
Wakati wa [[uhuru]] wa Ugiriki mwaka [[1834]] Athens ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu.

Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.


Michezo ya kwanza ya [[Michezo ya Olimpiki ya Kisasa|Olimpiki ya kisasa]] ilifanyika Athens mwaka [[1896]]. Michezo ilirudi tena kufanyika huko mwaka [[2004]].
Michezo ya kwanza ya [[Michezo ya Olimpiki ya Kisasa|Olimpiki ya kisasa]] ilifanyika Athens mwaka [[1896]]. Michezo ilirudi tena kufanyika huko mwaka [[2004]].

Pitio la 13:11, 21 Oktoba 2020

Majengo ya Akropoli juu ya kilima iliyokuwa boma na mtaa wa mahekalu ya Athens ya Kale. Huko Mtume Paulo alitoa hotuba maarufu (Mdo 17).

Athens (pia: Athene, Athini, kwa Kigiriki Αθήνα "Athina") ni mji mkuu wa Ugiriki (Uyunani), mji mkubwa wa nchi hiyo, na mojawapo kati ya miji mashuhuri ya dunia yenye historia ndefu ya miaka elfu kadhaa.

Siku hizi mji una wakazi milioni 3.

Jina

Jina limetokana na mungu wa kike "Athena" aliyeabudiwa kama mungu wa elimu na wa vita zamani za Ugiriki wa Kale.

Historia

Katika karne kabla ya Kristo Athens ulikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi Italia na Uturuki ya leo.

Athens ilikuwa maarufu kwa wataalamu wake, hasa wanafalsafa kama Sokrates, Plato na Aristoteles.

Kisiasa inaitwa asili ya demokrasia.

Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa Dola la Roma na tangu mwaka 1453 chini ya Dola la Uturuki. Hapo mji ukawa hauna umuhimu wowote, hivi kwamba wakati wa uhuru wa Ugiriki mwaka 1834 ulikuwa na wakazi wapatao 1000 tu.

Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ukakua tena.

Michezo ya kwanza ya Olimpiki ya kisasa ilifanyika Athens mwaka 1896. Michezo ilirudi tena kufanyika huko mwaka 2004.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Athens kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.