Linux : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 41.75.221.186 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 1: Mstari 1:
'''Linux''' (au '''GNU/Linux''') ni mfumo wa uendeshaji wa [[Unix]] kwa [[kompyuta]].
'''Linux''' (au '''GNU/Linux''') ni mfumo wa uendeshaji wa [[Unix]] kwa [[kompyuta]].

Mfumo wa uendeshaji ni mkusanyiko wa maelekezo ya msingi ambayo hudhibiti sehemu za [[umeme]] za [[kompyuta]] zinazoiruhusu amjmipango ya [[programu]] inayoendesha.
Mfumo wa uendeshaji ni mkusanyiko wa maelekezo ya msingi ambayo hudhibiti sehemu za [[umeme]] za [[kompyuta]] zinazoiruhusu mipango ya [[programu]] inayoendesha.

Linux ni [[programu]] ya bure. Programu ya bure ina maana kwamba kila mtu ana uhuru wa kuitumia, bdakuangalia jinsi inavyofanya kazi, kuibadili au kuisambaza.
Linux ni [[programu]] ya bure. Programu ya bure ina maana kwamba kila mtu ana uhuru wa kuitumia, kuangalia jinsi inavyofanya kazi, kuibadili au kuisambaza.

Kuna programu nyingi kwa ajili ya Linux na kwa sababu Linux yenyewe ni ya bure, pia programu nyingi za Linux ni programu za bure. Hii ni sababu mojawapo ambayo watu wengi wanapenda kutumia Linux.
Kuna programu nyingi kwa ajili ya Linux na kwa sababu Linux yenyewe ni ya bure, pia programu nyingi za Linux ni programu za bure. Hii ni sababu mojawapo ambayo watu wengi wanapenda kutumia Linux.

Pitio la 13:57, 20 Oktoba 2020

Linux (au GNU/Linux) ni mfumo wa uendeshaji wa Unix kwa kompyuta.

Mfumo wa uendeshaji ni mkusanyiko wa maelekezo ya msingi ambayo hudhibiti sehemu za umeme za kompyuta zinazoiruhusu mipango ya programu inayoendesha.

Linux ni programu ya bure. Programu ya bure ina maana kwamba kila mtu ana uhuru wa kuitumia, kuangalia jinsi inavyofanya kazi, kuibadili au kuisambaza.

Kuna programu nyingi kwa ajili ya Linux na kwa sababu Linux yenyewe ni ya bure, pia programu nyingi za Linux ni programu za bure. Hii ni sababu mojawapo ambayo watu wengi wanapenda kutumia Linux.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.