Dirisha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Gordijnen aan venster.JPG|thumb|[[Dirisha la hewa]] chumbani.]]
[[File:Gordijnen aan venster.JPG|thumb|[[Dirisha la hewa]] chumbani.]]
'''Dirisha''' (kutoka [[neno]] la [[Kiajemi]]) ni nafasi wazi katika [[ukuta]] au [[paa]] la [[jengo]], katika [[gari]] n.k. Lengo lake ni kuruhusu [[hewa]] na [[mwanga]] viingie, pia [[watu]] waweze kuona nje kwa njia yake.
'''Dirisha''' (kutoka [[neno]] la [[Kiajemi]]; kwa [[Kiingereza]]: ''window'') ni nafasi wazi katika [[ukuta]] au [[paa]] la [[jengo]], katika [[gari]] n.k. Lengo lake ni kuruhusu [[hewa]] na [[mwanga]] viingie, pia [[watu]] waweze kuona nje kwa njia yake.


Kunaweza kuwa na [[umbo|maumbo]] na ukubwa tofauti, ikiwa ni pamoja na [[mstatili]], [[mraba]], [[mviringo]], au maumbo ya kawaida.
Kunaweza kuwa na [[umbo|maumbo]] na ukubwa tofauti, ikiwa ni pamoja na [[mstatili]], [[mraba]], [[mviringo]], au maumbo ya kawaida.
Mstari 10: Mstari 10:
==Tazama pia==
==Tazama pia==
* [[Dirisha la amri]]
* [[Dirisha la amri]]
* [[Dirisha (tarakilishi)]]
{{mbegu-utamaduni}}
{{mbegu-utamaduni}}



Toleo la sasa la 14:08, 12 Oktoba 2020

Dirisha la hewa chumbani.

Dirisha (kutoka neno la Kiajemi; kwa Kiingereza: window) ni nafasi wazi katika ukuta au paa la jengo, katika gari n.k. Lengo lake ni kuruhusu hewa na mwanga viingie, pia watu waweze kuona nje kwa njia yake.

Kunaweza kuwa na maumbo na ukubwa tofauti, ikiwa ni pamoja na mstatili, mraba, mviringo, au maumbo ya kawaida.

Kwa kawaida hujazwa na kioo ili kuzuia baridi na mavumbi kuingia. Baadhi ya madirisha yana kioo cha rangi, hasa mahali pa ibada.

Kabla ya kioo kilichotumiwa madirisha, watu wa Asia walitumia karatasi kujaza shimo kwenye ukuta. Karatasi ingeacha mwanga.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dirisha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.