Lava : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Sahihisho |
Nyongeza lava wa mbu |
||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
Lava wa wadudu kadhaa wana majina ya pekee: |
Lava wa wadudu kadhaa wana majina ya pekee: |
||
*[[jana]] ni lava wa [[nyuki]] |
* [[jana]] ni lava wa [[nyuki]] |
||
* [[buu]] na [[funza]] ni lava wa [[nzi]] na [[mbawakawa]] fulani |
* [[buu]] na [[funza]] ni lava wa [[nzi]] na [[mbawakawa]] fulani |
||
* [[kiluwiluwi (mdudu)|kiluwiluwi]] ni lava wa [[mbu]] |
|||
* [[kiwavi]] ni lava wa [[kipepeo]] |
* [[kiwavi]] ni lava wa [[kipepeo]] |
||
* [[tunutu]] ni lava wa [[nzige]] |
* [[tunutu]] ni lava wa [[nzige]] |
||
Kuna pia [[amfibia]] wanaopita hali ya lava. [[ |
Kuna pia [[amfibia]] wanaopita hali ya lava. [[Ndubwi au [[kiluwiluwi (amfibia)|kiluwiluwi]] ni lava wa [[chura]]. |
||
Pitio la 16:09, 8 Oktoba 2020
Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia lava (volkeno)
Lava (kutoka neno la Kiingereza larva ambalo lina asili ya Kilatini; pia bombwe) ni mtoto wa mdudu au wa mmojawapo wa invertebrata, amfibia au samaki katika hatua za awali za ukuaji wake.
Lava wa wadudu kadhaa wana majina ya pekee:
- jana ni lava wa nyuki
- buu na funza ni lava wa nzi na mbawakawa fulani
- kiluwiluwi ni lava wa mbu
- kiwavi ni lava wa kipepeo
- tunutu ni lava wa nzige
Kuna pia amfibia wanaopita hali ya lava. [[Ndubwi au kiluwiluwi ni lava wa chura.
Tanbihi
Marejeo
- Brusca, R. C. & Brusca, G. J. (2003). Invertebrates (2nd ed.). Sunderland, Mass. : Sinauer Associates.
- Hall, B. K. & Wake, M. H., eds. (1999). The Origin and Evolution of Larval Forms. San Diego: Academic Press.
- Leis, J. M. & Carson-Ewart, B. M., eds. (2000). The Larvae of Indo-Pacific Coastal Fishes. An Identification Guide to Marine Fish Larvae. Fauna Malesiana handbooks, vol. 2. Brill, Leiden.
- Minelli, A. (2009). The larva. In: Perspectives in Animal Phylogeny and Evolution. Oxford University Press. p. 160-170. link.
- Shanks, A. L. (2001). An Identification Guide to the Larval Marine Invertebrates of the Pacific Northwest. Oregon State University Press, Corvallis. 256 pp.
- Smith, D. & Johnson, K. B. (1977). A Guide to Marine Coastal Plankton and Marine Invertebrate Larvae. Kendall/Hunt Plublishing Company.
- Stanwell-Smith, D., Hood, A. & Peck, L. S. (1997). A field guide to the pelagic invertebrates larvae of the maritime Antarctic. British Antarctic Survey, Cambridge.
- Thyssen, P.J. (2010). Keys for Identification of Immature Insects. In: Amendt, J. et al. (ed.). Current Concepts in Forensic Entomology, chapter 2, pp. 25–42. Springer: Dordrecht, [1].
Viungo vya nje
- media kuhusu Lava pa Wikimedia Commons
- The Wiktionary definition of lava
- Arenas-Mena, C. (2010) Indirect development, transdifferentiation and the macroregulatory evolution of metazoans. Philosophical Transactions of the Royal Society B: Biological Sciences. Feb 27, 2010 Vol.365 no.1540 653-669
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lava kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |