Kireno : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Map-Lusophone World-en.png|thumb|right|400px|Nchi penye Kireno kama lugha rasmi]]
[[Picha:Map-Lusophone World-en.png|thumb|right|400px|Nchi penye Kireno kama lugha rasmi]]
'''Kireno''' (''Português'' - tamka "purtuGESH") ni [[lugha za Kirumi|lugha ya Kirumi]] inayozungumzwa hasa nchini [[Ureno]] na [[Brazil]],lakini pia [[Kusini mwa Afrika]] na [[Asia Kusini]].
'''Kireno''' (''Português'' - tamka "purtuGESH") ni [[lugha za Kirumi|lugha ya Kirumi]] inayozungumzwa hasa nchini [[Ureno]] na [[Brazil]], lakini pia [[Kusini mwa Afrika]], [[Asia Kusini]] na [[Asia Kusini-Mashariki]].


Imekuwa [[lugha ya kimataifa]] kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] ya [[Ureno]] ikiwa na wasemaji wa [[lugha ya kwanza]] [[milioni]] 210-215; pamoja na wasemaji wa [[lugha ya pili]] kuna [[watu]] milioni 270 [[duniani]] wanaoelewana kwa Kireno, hivyo ni lugha ya 5 au ya 6.
Imekuwa [[lugha ya kimataifa]] kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] ya [[Ureno]] ikiwa na wasemaji wa [[lugha ya kwanza]] [[milioni]] 210-215; pamoja na wasemaji wa [[lugha ya pili]] kuna [[watu]] milioni 270 [[duniani]] wanaoelewana kwa Kireno, hivyo ni lugha ya 5 au ya 6 [[ulimwenguni]].


Kutokana na historia ya ukoloni Kireno kimepatikana katika nchi zifuatazo:
Kutokana na historia ya ukoloni Kireno kimepatikana katika nchi zifuatazo:

Pitio la 04:45, 4 Oktoba 2020

Nchi penye Kireno kama lugha rasmi

Kireno (Português - tamka "purtuGESH") ni lugha ya Kirumi inayozungumzwa hasa nchini Ureno na Brazil, lakini pia Kusini mwa Afrika, Asia Kusini na Asia Kusini-Mashariki.

Imekuwa lugha ya kimataifa kutokana na historia ya ukoloni ya Ureno ikiwa na wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 210-215; pamoja na wasemaji wa lugha ya pili kuna watu milioni 270 duniani wanaoelewana kwa Kireno, hivyo ni lugha ya 5 au ya 6 ulimwenguni.

Kutokana na historia ya ukoloni Kireno kimepatikana katika nchi zifuatazo:

Kireno kama lugha rasmi

Lugha ya kieneo

Historia ya lugha

Kireno ni moja kati ya lugha za Kirumi maana yake kimetokana na Kilatini cha Dola la Roma lililotawala eneo la Ureno kwa karne nyingi.

Ni karibu hasa na Kigalicia kinachozungumzwa katika Hispania ya Kaskazini.

Wareno waliacha lugha yao katika makoloni yao. Leo hii idadi ya wasemaji katika Ureno ni milioni 10 tu - idadi kubwa kabisa wako nje ya Ureno, hasa Brazil.

Kireno kilisambaa zaidi katika karne ya 20 kwa sababu Wareno waliondoka Ureno kutafuta kazi katika nchi nyingi za Ulaya. Vilevile kuna Wabrazil na Waangola waliotoka kwao kuhamia penginepo wakienda na lugha yao.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kireno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.