Tofauti kati ya marekesbisho "Kireno"

Jump to navigation Jump to search
32 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[Picha:Map-Lusophone World-en.png|thumb|right|400px|Nchi penye Kireno kama lugha rasmi]]
'''Kireno''' (''Português'' - tamka "purtuGESH") ni [[lugha za Kirumi|lugha ya Kirumi]] inayozungumzwa hasa nchini [[Ureno]] na [[Brazil]],lakini napia [[Kusini mwa Afrika]] na [[Asia Kusini]].
 
Imekuwa [[lugha ya kimataifa]] kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] ya [[Ureno]] ikiwa na wasemaji wa [[lugha ya kwanza]] [[milioni]] 210-215; pamoja na wasemaji wa [[lugha ya pili]] kuna [[watu]] milioni 270 [[duniani]] wanaoelewana kwa Kireno, hivyo ni lugha ya 5 au ya 6.

Urambazaji