Kireno : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
LUGHA,HISTORIA,UKOLONI
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Map-Lusophone World-en.png|thumb|right|400px|Nchi penye Kireno kama lugha rasmi]]
[[Picha:Map-Lusophone World-en.png|thumb|right|400px|Nchi penye Kireno kama lugha rasmi]]
'''Kireno''' (''Português'' - tamka "purtuGESH") ni [[lugha za Kirumi|lugha ya Kirumi]] inazungumunzwa nchini za Africa Kusini, [[Ureno]] na ([[Brazil]]). Imekuwa [[lugha]] ya kimataifa kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] ya [[Ureno]] yenye [[wasemaji wa lugha ya kwanza]] milioni 190, pamoja na [[wasemaji wa lugha ya pili]] kuna watu milioni 200 duniani wanaoelewana kwa Kireno.
'''Kireno''' (''Português'' - tamka "purtuGESH") ni [[lugha za Kirumi|lugha ya Kirumi]] inayozungumzwa nchini [[Ureno]] na [[Brazil]] na [[Kusini mwa Afrika]].


Imekuwa [[lugha ya kimataifa]] kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] ya [[Ureno]] ikiwa na wasemaji wa [[lugha ya kwanza]] [[milioni]] 210-215; pamoja na wasemaji wa [[lugha ya pili]] kuna [[watu]] milioni 270 [[duniani]] wanaoelewana kwa Kireno, hivyo ni lugha ya 5 au ya 6.
Kutokana na historia ya ukoloni Kireno limepatikana katika nchi zifuatazo:


Kutokana na historia ya ukoloni Kireno kimepatikana katika nchi zifuatazo:
=== Kireno kama lugha rasmi: ===

Ulaya, Africa na Amerika.


==Kireno kama lugha rasmi==
* [[Ureno]]
* [[Ureno]]
* [[Brazil]]
* [[Brazil]]
Mstari 17: Mstari 16:
* [[Timor ya Mashariki]]
* [[Timor ya Mashariki]]


=== Kieneo ===
==Lugha ya kieneo==
* [[Makau]] (mkoa wa [[Uchina]])
* [[Makau]] (mkoa wa [[Uchina]])
* [[Goa]] (mkoa wa [[India]])
* [[Goa]] (mkoa wa [[India]])


== Historia ya lugha ==
== Historia ya lugha ==
Kireno ni moja kati ya [[lugha za Kirumi]] maana yake kimetokana na [[Kilatini]] cha [[Dola la Roma]] lililotawala eneo la Ureno kwa karne nyingi.
Kireno ni moja kati ya [[lugha za Kirumi]] maana yake kimetokana na [[Kilatini]] cha [[Dola la Roma]] lililotawala eneo la Ureno kwa [[karne]] nyingi.


Ni karibu hasa na [[Kigalicia]] kinachozungumzwa katika [[Hispania]] ya Kaskazini.
Ni karibu hasa na [[Kigalicia]] kinachozungumzwa katika [[Hispania]] ya [[Kaskazini]].


Wareno waliacha lugha yao katika koloni zao. Leo hii idadi ya wasemaji katika Ureno ni milioni 10 tu - idadi kubwa kabisa wako nje ya Ureno hasa Brazil.
Wareno waliacha lugha yao katika makoloni yao. Leo hii [[idadi]] ya wasemaji katika Ureno ni milioni 10 tu - idadi kubwa kabisa wako nje ya Ureno, hasa Brazil.


Ureno ilisambaa zaidi katika karne ya 20 kwa sababu Wareno waliondoka Ureno kutafuta kazi katika nchi nyingi za Ulaya. Vilevile kuna Wabrazil na Waangola waliotoka kwao kuhamia penginepo wakienda na lugha yao.
Kireno kilisambaa zaidi katika [[karne ya 20]] kwa sababu Wareno waliondoka Ureno kutafuta [[kazi]] katika nchi nyingi za [[Ulaya]]. Vilevile kuna Wabrazil na Waangola waliotoka kwao kuhamia penginepo wakienda na lugha yao.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 04:32, 4 Oktoba 2020

Nchi penye Kireno kama lugha rasmi

Kireno (Português - tamka "purtuGESH") ni lugha ya Kirumi inayozungumzwa nchini Ureno na Brazil na Kusini mwa Afrika.

Imekuwa lugha ya kimataifa kutokana na historia ya ukoloni ya Ureno ikiwa na wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 210-215; pamoja na wasemaji wa lugha ya pili kuna watu milioni 270 duniani wanaoelewana kwa Kireno, hivyo ni lugha ya 5 au ya 6.

Kutokana na historia ya ukoloni Kireno kimepatikana katika nchi zifuatazo:

Kireno kama lugha rasmi

Lugha ya kieneo

Historia ya lugha

Kireno ni moja kati ya lugha za Kirumi maana yake kimetokana na Kilatini cha Dola la Roma lililotawala eneo la Ureno kwa karne nyingi.

Ni karibu hasa na Kigalicia kinachozungumzwa katika Hispania ya Kaskazini.

Wareno waliacha lugha yao katika makoloni yao. Leo hii idadi ya wasemaji katika Ureno ni milioni 10 tu - idadi kubwa kabisa wako nje ya Ureno, hasa Brazil.

Kireno kilisambaa zaidi katika karne ya 20 kwa sababu Wareno waliondoka Ureno kutafuta kazi katika nchi nyingi za Ulaya. Vilevile kuna Wabrazil na Waangola waliotoka kwao kuhamia penginepo wakienda na lugha yao.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kireno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.