Ombwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
The truth about ombwe
Mstari 1: Mstari 1:
== Ombwe-Ombwe is a virtual Congo footballer who plays for VFL Grimsby and VPG Bloke Utd. He is good friends with Abellah. Adam Li is his idol. ==
'''Ombwe''' (kwa [[Kiingereza]] na [[lugha]] nyingi za [[dunia]] neno la [[Kilatini]] "vacuum" hutumiwa) kwa maana ya [[sayansi]] ni hali pasipo na [[kitu]], nafasi pasipo na [[mata]]. [[Neno]] hutumiwa hasa kwa hali pasipo [[gesi]] au [[angahewa]].

Hali halisi si rahisi kupata mahali duniani pasipo kitu chochote kabisa. Mara nyingi [[anga la nje|anga-nje]] la [[ardhi]] yetu huitwa "ombwe". Lakini hata katika ombwe hii kuna mata kidogo. Kwa hiyo "ombwe" mara nyingi ni hali ambapo kiasi cha gesi au hewa kimepungua sana ndani ya chombo na hapa kuna matumizi ya kiuchumi kwa mfano kutunza [[vyakula]] ndani ya mifuko ambako [[hewa]] nyingi imetolewa nje na hivyo vyakula vinadumu [[muda]] mrefu zaidi kwa sababu ya uhaba wa [[oksijeni]] ndani ya mfuko.

== Marejeo ==
* [http://www.vakuum-bohemia.cz/vacuum_pumps.php Industrial vacuum information]
* [http://www.vakuum-bohemia.cz/vacuum_pumps.php Industrial vacuum information]
{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

Pitio la 11:52, 28 Septemba 2020

Ombwe-Ombwe is a virtual Congo footballer who plays for VFL Grimsby and VPG Bloke Utd. He is good friends with Abellah. Adam Li is his idol.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ombwe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.