Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Kufuta makala"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
 
 
Mara nyingi ni afadhali kuboresha makala kuliko kuifuta. Mara nyingi inaweza kusaidia pia kubadlisha makala mbaya kuwa makala ye [[wikipedia:Kielekezo|kielekezo]] (Redirect) kuliko kuifuta kabisa maana kutunza jina itamsaidia msomaji kufkia kwenye habari yenye maana.
 
Kama tunaamua kufuta makala ni vema kuangalia kwanza "[[Maalum:VingoViungavyoUkurasahuu/Wikipedia:Makala kwa ufutaji|Viungo viungavyo ukurasa huu]]" katika menyu ya "vifaa" na kuondoa viungo vyote kwa ukurasa tutakayofuta.

Urambazaji