Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Kufuta makala"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
'''<big>Yafuatayo bado ni pendekezo linalohitaji kuangaliwa na kukubaliwa</big>'''
 
'''Kufuta makala''' ni kazi ya Wakabidhi. Kila mtu anaweza kupendekeza makala kwa ufutaji na ushiriki katika majadiliano, lakini wakabidhi pekee wana mamlaka ya kufuta kurasa, majamii, na picha. Wakati mwingine, kurasa zinaweza kufutwa mara moja kufuatana na azimio la mkabidhi mmoja tu. Kwa kawaida tunaacha fuata utaratibu kwamba mmoja anapendekeza makala ifutwe, kupekeleka jina kwenye ukurasa wa [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]] na hapa inaweza kujadiliwa. Baada ya siku kadhaa mkabidi mwingine anaamua kuifuta au kuiacha, mara nyingi baada ya maboresho.
 

Urambazaji