Tashihisi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:


[[Usanii]] huo unaweza kupendezesha [[sentensi]], [[mazungumzo]] na [[maandishi]] na kuvifanya viwe [[fasihi]].
[[Usanii]] huo unaweza kupendezesha [[sentensi]], [[mazungumzo]] na [[maandishi]] na kuvifanya viwe [[fasihi]].

kwa mfano: 'mezwa na ulimwengu'
hapa ulimwengu umepewe sifa ya kiumbehai nayo ni kumeza
Kwa mfano, usemi 'mezwa na ulimwengu'; hapa [[ulimwengu]] umepewe sifa ya [[kiumbehai]] ambayo ni kumeza.
{{mbegu-lugha}}
{{mbegu-lugha}}



Pitio la 07:22, 26 Septemba 2020

Tashihisi (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza "personification") ni tamathali ya usemi inayokipa kitu sifa ya uhai ambayo hakina ili kionekane kusema na kutenda kama kiumbehai.

Usanii huo unaweza kupendezesha sentensi, mazungumzo na maandishi na kuvifanya viwe fasihi.

Kwa mfano, usemi 'mezwa na ulimwengu'; hapa ulimwengu umepewe sifa ya kiumbehai ambayo ni kumeza.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tashihisi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.