Tofauti kati ya marekesbisho "Fransisko wa Paola"

Jump to navigation Jump to search
128 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[Picha:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]]
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' (kwa [[Kiitalia]] ''Francesco da [[Paola]]''; [[27 Machi]] [[1416]] – [[2 Aprili]] [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]].
 
Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] chini ya [[Papa Leo X]] kuwa [[mtakatifu]] kuanzia mwaka [[1519]]. Tarehe ya [[kif]]o chake, yaani [[2 Aprili]], pia ni [[sikukuu]] yake.
 
Tarehe ya [[kif]]o chake, yaani [[2 Aprili]], pia ni [[sikukuu]] yake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
== Maisha ==
Fransisko alizaliwa kwa [[muujiza]] katika [[mji]] wa [[Paola]], [[Mikoa ya Italia|mkoa]] wa [[Calabria]], [[Italia]], mwaka 1416. [[Wazazi]] wake walikuwa wamefikia [[uzee]] bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba [[Fransisko wa Asizi]] na kuweka [[nadhiri]] kuwa [[mtoto]] wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa.
 
Tangu [[utoto]]ni alishika [[maisha]] magumu ya [[sala]] na [[toba]] [[makao ya upweke|upwekeni]].
 
Alianzisha [[Utawa|shirika la watawa]] [[wakaa-pweke]], ambalo baadaye likawa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], likapata kibali kutoka kwa [[Papa]] mwaka [[1506]]. Pamoja na kuahidi [[mashauri ya Kiinjili]] matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kwa toba kama wakati wa [[Kwaresima]].
 
[[Kanuni]] yake ni ya pekee, ingawa inafuata kwa jumla ile ya [[Ndugu Wadogo]] ikiiongezea [[malipizi]] makali ya [[mababu wa jangwani]].
 
Kauli-mbiu[[Kaulimbiu]] yake ilikuwa [[neno]] "caritas" (kwa [[Kilatini]], "[[upendo]]").
 
Fransisko alikufa mwaka 1507 huko [[Tours]], [[Ufaransa]] alipokuwa ametumwa na [[Papa]].
 
==Tazama pia==

Urambazaji