Mfereji wa Suez : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:USS Bainbridge (CGN-25) underway in the Suez Canal on 27 February 1992.jpg|thumb|250px|[[Manowari]] ikipita katika Mfereji wa Taabah Rafah Straights]]
[[Picha:USS Bainbridge (CGN-25) underway in the Suez Canal on 27 February 1992.jpg|thumb|250px|[[Manowari]] ikipita katika Mfereji wa Taabah Rafah Straights.]]
[[Picha:SuezCanal-EO.JPG|thumb|250px|Mfereji wa Suez kutoka angani kati ya [[Mediteranea]] (juu) na [[Bahari ya Shamu]] (chini)]]
[[Picha:SuezCanal-EO.JPG|thumb|250px|Mfereji wa Suez kutoka angani kati ya [[Mediteranea]] (juu) na [[Bahari ya Shamu]] (chini).]]
'''Mfereji wa Suez''' (kwa [[Kiarabu]]: قناة السويس, ''qanā as-suways'') ni [[mfereji]] mkubwa nchini [[Misri]].

'''Mfereji wa Suez''' ([[Kiarabu]]: قناة السويس, ''qanā as-suways'') ni mfereji mubwa nchini [[Misri]].


== Mahali pake ==
== Mahali pake ==
Unaunganisha [[Bahari ya Mediteranea]] na [[Bahari ya Shamu]] hivyo na [[Bahari Hindi]].
Unaunganisha [[Bahari ya Mediteranea]] na [[Bahari ya Shamu]], hivyo na [[Bahari Hindi]] pia.

Mfereji uko upande wa magaribi ya [[rasi ya Sinai]]. Urefu wake ni 163 km na upana ni kuanzia 300m.
Mfereji uko upande wa [[magharibi]] wa [[rasi ya Sinai]]. [[Urefu]] wake ni [[km]] 163 na [[upana]] ni kuanzia [[mita]] 300.


Unaanza mjini [[Port Said]] (''Būr Sa'īd'') upande wa [[Mediteranea]] na kuishia mjini [[Suez]] (''al-Suways'') upande wa Bahari ya Shamu.
Unaanza [[Mji|mjini]] [[Port Said]] (''Būr Sa'īd'') upande wa [[Mediteranea]] na kuishia mjini [[Suez]] (''al-Suways'') upande wa Bahari ya Shamu.


== Historia ==
== Historia ==
Ilijengwa kati ya [[1859]] na [[1869]] na kampuni ya kifaransa.
Ulijengwa na [[kampuni]] ya Kifaransa kati ya miaka [[1859]] na [[1869]].


Kuna mifereji mbalimbali iliyotangulia hapa kuanzia karne ya 14 KK hadi wakati wa Waarabu katika karne ya 8 BK. Lakini yote haikudumu kwa sababu ya matatizo ya kuondoa mchanga mara kwa mara kwa mitambo iliyopatikana zamani. Tena katika mifereji ya zamani ilikuwa serikali ya MIsri tu iliyotaka kurahisisha usafiri na ubebaji wa mizigo.
Kuna mifereji mbalimbali iliyotangulia huko kuanzia [[karne ya 14 KK]] hadi wakati wa [[Waarabu]] katika [[karne ya 8]] [[BK]]. Lakini yote haikudumu kwa sababu ya matatizo ya kuondoa [[mchanga]] mara kwa mara kwa mitambo iliyopatikana zamani. Tena katika mifereji ya zamani ilikuwa [[serikali]] ya Misri tu iliyotaka kurahisisha [[usafiri]] na ubebaji wa [[mzigo|mizigo]].


Tangu kupatikana kwa meli ya kisasa idadi ya meli kati ya Ulaya na Asia iliongezeka sana katika kare ya 19. Zote zilipaswa kuzunguka Afrika yote au kuondoa mizigo na abiria upande wa mediteranea na kuyasafirisha yote hadi Suez. Hivyo ilikuwa jitihada ya kimataifa yaliyoleta mfereji wa kisasa.
Tangu kupatikana kwa [[meli]] za kisasa [[idadi]] ya meli kati ya [[Ulaya]] na [[Asia]] iliongezeka sana katika [[karne ya 19]]. Zote zilipaswa kuzunguka [[Afrika]] yote au kuondoa mizigo na [[abiria]] upande wa Mediteranea na kuwasafirisha hadi Suez. Hivyo ilikuwa jitihada ya kimataifa yaliyoleta mfereji wa kisasa.


Meli ya kwanza ilipita mfereji mpya tar. [[17 Februari]] [[1867]]. Mtungaji muziki [[Giuseppe Verdi]] aliandika [[opera]] yake [[Aida]] hasa kwa nafasi hii.
Meli ya kwanza ilipitia mfereji mpya [[tarehe]] [[17 Februari]] [[1867]]. [[Mtunzi]] wa [[muziki]] [[Giuseppe Verdi]] aliandika [[opera]] yake [[Aida]] hasa kwa nafasi hiyo.


== Umuhimu wa mfereji wa Suez ==
== Umuhimu wa mfereji wa Suez ==
[[Picha:Suez njia baharini.png|thumb|Njia za usafiri baharini kabla na baada ya kupatikana kwa Mfereji wa Suez]]
[[Picha:Suez njia baharini.png|thumb|Njia za usafiri baharini kabla na baada ya kupatikana kwa Mfereji wa Suez]]
Mfereji wa Suez unafupisha umbali wa safari ya meli kati ya Ulaya na Asia kwa kilomita 8,000 hivi; kwa mfano safari baina [[Rotterdam]] (bandari kubwa ya Ulaya) na [[Dubai]] ni takriban kilomita 20,900 na siku 24 kwa njia ya kuzungka Afrika; kupitia Mfereji wa Suez ni kilomita 12,000 na siku 12 pekee.<ref>{{Cite web|url= http://www.worldshipping.org/pdf/suez-canal-presentation.pdf| title= The Suez Canal - A vital shortcut for global commerce|publisher= [[World Shipping Council]] }}</ref>
Mfereji wa Suez unafupisha [[umbali]] wa [[safari]] ya meli kati ya Ulaya na Asia kwa kilomita 8,000 hivi; kwa mfano safari baina ya [[Rotterdam]] ([[bandari]] kubwa ya Ulaya) na [[Dubai]] ni takriban kilomita 20,900 na [[siku]] 24 kwa njia ya kuzunguka Afrika; kupitia Mfereji wa Suez ni kilomita 12,000 na siku 12 pekee.<ref>{{Cite web|url= http://www.worldshipping.org/pdf/suez-canal-presentation.pdf| title= The Suez Canal - A vital shortcut for global commerce|publisher= [[World Shipping Council]] }}</ref>
Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na Afrika ya Mashariki. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila mwaka.
Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na [[Afrika ya Mashariki]]. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila [[mwaka]].


Mafanikio ya mfereji wa Suez yalihamasisha mianzo ya [[Mfereji wa Panama]].
Mafanikio ya mfereji wa Suez yalihamasisha mianzo ya [[Mfereji wa Panama]].


== Kutaifishwa kwa mfereji 1956 ==
== Kutaifishwa kwa mfereji 1956 ==
Mfereji ulikuwa mali ya Compagnie universelle du canal maritime de Suez au ampuni ya mfereji wa Suez na hisa zake zilikuwa mkononi mwa serikali za Ufaransa na Uingereza.
Mfereji ulikuwa [[mali]] ya Compagnie universelle du canal maritime de Suez au kampuni ya mfereji wa Suez na [[hisa]] zake zilikuwa mikononi mwa serikali za [[Ufaransa]] na [[Uingereza]].


Mwaka 1956 serikali ya Misri chini ya rais [[Gamal Abdel Nasser]] ilitaifisha mfereji na tendo hili likasababisha [[vita ya Suez ya 1956]] ambako Uingereza, Ufaransa na [[Israel]] zililazimishwa na mataifa makubwa kujiondoa katika Misri baada ya uvamizi wao.
Mwaka [[1956]] serikali ya Misri chini ya [[rais]] [[Gamal Abdel Nasser]] ilitaifisha mfereji na tendo hilo likasababisha [[vita ya Suez ya 1956]] ambako Uingereza, Ufaransa na [[Israel]] zililazimishwa na [[mataifa]] makubwa kujiondoa katika Misri baada ya uvamizi wao.


[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Jiografia]]

Pitio la 11:18, 11 Septemba 2020

Manowari ikipita katika Mfereji wa Taabah Rafah Straights.
Mfereji wa Suez kutoka angani kati ya Mediteranea (juu) na Bahari ya Shamu (chini).

Mfereji wa Suez (kwa Kiarabu: قناة السويس, qanā as-suways) ni mfereji mkubwa nchini Misri.

Mahali pake

Unaunganisha Bahari ya Mediteranea na Bahari ya Shamu, hivyo na Bahari Hindi pia.

Mfereji uko upande wa magharibi wa rasi ya Sinai. Urefu wake ni km 163 na upana ni kuanzia mita 300.

Unaanza mjini Port Said (Būr Sa'īd) upande wa Mediteranea na kuishia mjini Suez (al-Suways) upande wa Bahari ya Shamu.

Historia

Ulijengwa na kampuni ya Kifaransa kati ya miaka 1859 na 1869.

Kuna mifereji mbalimbali iliyotangulia huko kuanzia karne ya 14 KK hadi wakati wa Waarabu katika karne ya 8 BK. Lakini yote haikudumu kwa sababu ya matatizo ya kuondoa mchanga mara kwa mara kwa mitambo iliyopatikana zamani. Tena katika mifereji ya zamani ilikuwa serikali ya Misri tu iliyotaka kurahisisha usafiri na ubebaji wa mizigo.

Tangu kupatikana kwa meli za kisasa idadi ya meli kati ya Ulaya na Asia iliongezeka sana katika karne ya 19. Zote zilipaswa kuzunguka Afrika yote au kuondoa mizigo na abiria upande wa Mediteranea na kuwasafirisha hadi Suez. Hivyo ilikuwa jitihada ya kimataifa yaliyoleta mfereji wa kisasa.

Meli ya kwanza ilipitia mfereji mpya tarehe 17 Februari 1867. Mtunzi wa muziki Giuseppe Verdi aliandika opera yake Aida hasa kwa nafasi hiyo.

Umuhimu wa mfereji wa Suez

Njia za usafiri baharini kabla na baada ya kupatikana kwa Mfereji wa Suez

Mfereji wa Suez unafupisha umbali wa safari ya meli kati ya Ulaya na Asia kwa kilomita 8,000 hivi; kwa mfano safari baina ya Rotterdam (bandari kubwa ya Ulaya) na Dubai ni takriban kilomita 20,900 na siku 24 kwa njia ya kuzunguka Afrika; kupitia Mfereji wa Suez ni kilomita 12,000 na siku 12 pekee.[1] Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na Afrika ya Mashariki. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila mwaka.

Mafanikio ya mfereji wa Suez yalihamasisha mianzo ya Mfereji wa Panama.

Kutaifishwa kwa mfereji 1956

Mfereji ulikuwa mali ya Compagnie universelle du canal maritime de Suez au kampuni ya mfereji wa Suez na hisa zake zilikuwa mikononi mwa serikali za Ufaransa na Uingereza.

Mwaka 1956 serikali ya Misri chini ya rais Gamal Abdel Nasser ilitaifisha mfereji na tendo hilo likasababisha vita ya Suez ya 1956 ambako Uingereza, Ufaransa na Israel zililazimishwa na mataifa makubwa kujiondoa katika Misri baada ya uvamizi wao.

  1. "The Suez Canal - A vital shortcut for global commerce". World Shipping Council.