Egidi mkaapweke : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
[[Kaburi]] lake huko [[Saint-Gilles-du-Gard]] limekuwa kituo muhimu cha hija kutoka [[Arles]] kwenda [[Santiago de Compostela]] kumhesimu [[Mitume wa Yesu|mtume]] [[Yakobo Mkubwa]].
[[Kaburi]] lake huko [[Saint-Gilles-du-Gard]] limekuwa kituo muhimu cha hija kutoka [[Arles]] kwenda [[Santiago de Compostela]] kumhesimu [[Mitume wa Yesu|mtume]] [[Yakobo Mkubwa]].


Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[1 Septemba]].
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].

[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[1 Septemba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.


==Tazama pia==
==Tazama pia==

Pitio la 10:40, 31 Agosti 2020

Sehemu ya mchoro wa mwaka 1500 hivi.

Egidi mkaapweke (kwa Kifaransa Gilles; 650 hivi – 710 hivi) alikuwa mmonaki Mgiriki[1] kutoka Athens, ingawa habari za maisha yake kiini chake ni mikoa ya Provence na Septimania (leo Ufaransa Kusini).

Kaburi lake huko Saint-Gilles-du-Gard limekuwa kituo muhimu cha hija kutoka Arles kwenda Santiago de Compostela kumhesimu mtume Yakobo Mkubwa.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Septemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

  1. Wyschogrod (1990), p. 27; Chaucer and Schmidt (1976), p. 161, Note #632.
  2. Martyrologium Romanum

Vyanzo

  • Vita sancti Aegidii (Acta sanctorum, 9 September, 299-304)
  • Legenda Aurea, 130: Sanctus Egidius (On-line text, in Caxton's translation)
  • Chaucer, Geoffrey; Schmidt, Aubrey Vincent Carlyle (1976). The General Prologue to the Canterbury Tales and the Canon's Yeoman's Prologue and Tale. Holmes & Meier. ISBN 0-8419-0219-4. 
  • Wyschogrod, Edith (1990). Saints and Postmodernism: Revisioning Moral Philosophy. University of Chicago Press. ISBN 0-226-92043-7. 

Viungo vya nje