Kanisa kuu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[image:Archbasilica of St. John Lateran HD.jpg|thumb|300px|Upande wa mbele wa [[Basilika]] [[Kanisa kuu la Roma|kuu la Mt. Yohane huko Laterano]] wakati wa [[usiku]]. Ndilo kanisa kuu la [[Roma]]. Juu ya [[paa]], pamoja na nyingine, kuna [[sanamu]] ya Yesu Mkombozi tena [[Thenashara|12]] za [[Mitume wa Yesu]].]]

[[Picha:New St Theresa's Metropolitan Cathedral (under construction).jpg|thumb|Kanisa kuu jipya la [[Jimbo Kuu la Arusha]], [[Tanzania]] linaloendelea kujengwa.]]
[[File: Catedral_de_Salta_1.jpg|thumb|right|200px|Kanisa kuu la [[Salta]], [[Argentina]].]]
[[File: Catedral_de_Salta_1.jpg|thumb|right|200px|Kanisa kuu la [[Salta]], [[Argentina]].]]
'''Kanisa kuu''' ni [[jina]] la heshima la [[Maabadi|jengo la ibada]] la [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]] ambalo [[Askofu]] wa [[jimbo]] ([[dayosisi]]) fulani analitumia kwa kawaida kutekeleza kazi yake kama [[mchungaji]] mkuu wa waamini wake, kama vile kuhubiri na kufundisha [[Neno la Mungu]], kutakasa watu kwa [[sakramenti]] na [[sala]] mbalimbali na kuwaunganisha wote katika kumfuata [[Yesu]] pamoja.

Pitio la 12:17, 30 Agosti 2020

Upande wa mbele wa Basilika kuu la Mt. Yohane huko Laterano wakati wa usiku. Ndilo kanisa kuu la Roma. Juu ya paa, pamoja na nyingine, kuna sanamu ya Yesu Mkombozi tena 12 za Mitume wa Yesu.
Faili:New St Theresa's Metropolitan Cathedral (under construction).jpg
Kanisa kuu jipya la Jimbo Kuu la Arusha, Tanzania linaloendelea kujengwa.
Kanisa kuu la Salta, Argentina.

Kanisa kuu ni jina la heshima la jengo la ibada la madhehebu mbalimbali ya Ukristo ambalo Askofu wa jimbo (dayosisi) fulani analitumia kwa kawaida kutekeleza kazi yake kama mchungaji mkuu wa waamini wake, kama vile kuhubiri na kufundisha Neno la Mungu, kutakasa watu kwa sakramenti na sala mbalimbali na kuwaunganisha wote katika kumfuata Yesu pamoja.

Jina

Jina hilo linashuhudiwa tayari na maandishi ya mwaka 516.

Linaitwa pia "kanisa mama" kwa sababu ni kama mama wa makanisa yote ya jimbo hilo.

Upekee

Ndani yake umo ukulu, yaani kiti cha Askofu kisichopatikana katika makanisa mengine.

Kanisa kuu la Wakatoliki wote

Kwa kuwa imani ya Kanisa Katoliki ni kwamba Papa wa Roma ni mkuu wa maaskofu wote duniani, kanisa kuu la jimbo lake ni pia kanisa kuu la Wakatoliki wote. Ndiyo sababu mlangoni mwa basilika kuu la Laterano imeandikwa kwamba ndilo "kichwa na mama wa makanisa yote ya jiji na ya dunia nzima".

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanisa kuu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.