Tofauti kati ya marekesbisho "Malaika Gabrieli"

Jump to navigation Jump to search
154 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
no edit summary
 
[[Image:Gabriel from Vysotsky chin (14c, Tretyakov gallery).jpg|thumb|right|[[Picha]] ya Gabrieli kwa mtindo wa [[Waorthodoksi|Kiorthodoksi]], [[1387]]–[[1395]] hivi ([[Tretyakov Gallery]]).]][[Image:Anton Raphael Mengs - Annunciation.jpg|thumb|right|215px|Mchoro wa [[Bikira Maria]] [[kupashwa habari]] na Gabrieli, kazi ya [[Anton Raphael Mengs]].]]
 
Katika [[dini]] zinazotaka kufuata [[imani]] ya [[Abrahamu]], '''Gabrieli''' (kwa [[Kiebrania]] גַּבְרִיאֵל|Gavri'el|Gaḇrîʼēl, ''Mungu ni nguvu yangu''; kwa [[Kiarabu]] جبريل, ''Jibrīl'' orau جبرائيل ''Jibrāʾīl'') ni [[malaika]] aliyetumwa na [[Mungu]] kuleta [[ujumbe]] wa pekee katika [[dini]] zinazotaka kufuata [[imani]] ya [[Abrahamu]].
 
Kwa sababu hiyo [[Wakatoliki]] wanamheshimu kama [[malaika mkuu]] pamoja na [[malaika Mikaeli]] na [[malaika Rafaeli]], hasa tarehe [[29 Septemba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref><ref>Sikukuu ya Kianglikana huitwa “Michael na Malaika Wote” (kwa Kiingereza Michael and All Angels).</ref>.
 
[[Ukristo|Wakristo]] wengine pia wanamheshimu kwa kupasha habari ya kutungwa kwa [[Yohane Mbatizaji]]<ref>1:5 Wakati Herode alipokuwa mfalme wa Yudea, kulikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria, wa kikundi cha Abia. Mke wake alikuwa anaitwa Elisabeti, naye alikuwa wa ukoo wa kuhani Aroni. 6 Wote wawili walikuwa wanyofu mbele ya Mungu, wakiishi kwa kufuata amri na maagizo yote ya Bwana bila lawama.
[[Waislamu]] pia wanamheshimu kwa ajili hiyo na kwa kumletea [[Mtume Muhammad]] [[ufunuo]] wa [[Kurani]].
 
Kwa mara ya kwanza [[jina]] lake liliandikwa katika [[kitabu cha Danieli]].
 
==Tazama pia==

Urambazaji