Viwakilishi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Fixed typo
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 27: Mstari 27:
#[[Viwakilishi vya urejeshi]]
#[[Viwakilishi vya urejeshi]]
#[[Viwakilishi vya pekee]]
#[[Viwakilishi vya pekee]]

==Tazama pia==
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]
*[[Lango:Lugha]]

Toleo la sasa la 19:42, 28 Agosti 2020

Mifano
  • Mimi na wewe ni kitu kimoja.
  • Hilo si langu'.
  • Anawatazama wao.
  • Kiache hicho.
  • Nani atasema jambo kama hilo?

Kiwakilishi (pia: viwakilishi) ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino. Maneno hayo (viwakilishi) hutumika pale tu ambapo nomino haipo au haikutajwa huenda kwa kuwa imekwisha-tajwa hapo awali au inafahamika katika mazingira husika. Mfano:

  • Hizi zimeiva
  • Chake' kimeliwa
  • Mimi ni mwalimu
  • Wote wamepotea
  • Aliyegongwa amepona

Wakati mwingine watu hawataji waziwazi majina ya watu wazo, hali au vitu fulani ambavyo wamekwisha-vizungumza/vitaja hapo awali au vinafahamika katika mazingira husika badala yake hutumika maneno mengine kuwakilisha - kusimama badala ya (majina hayo ambayo hawakuyataja) - maneno hayo ndiyo huitwa viwakilishi.

Orodha ya viwakilishi[hariri | hariri chanzo]

  1. Viwakilishi vya sifa
  2. Viwakilishi vya idadi - vilevile kiasi
  3. Viwakilishi vya kuuliza
  4. Viwakilishi vya kuonesha
  5. Viwakilishi vya nafsi
  6. Viwakilishi vya kumiliki
  7. Viwakilishi vya unganifu
  8. Viwakilishi vya amba
  9. Viwakilishi vya urejeshi
  10. Viwakilishi vya pekee

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.