Bamba la Karibi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d robot Adding: it:Placca caraibica |
d roboti Nyongeza: uk:Карибська плита |
||
Mstari 28: | Mstari 28: | ||
[[pt:Placa do Caribe]] |
[[pt:Placa do Caribe]] |
||
[[ru:Карибская плита]] |
[[ru:Карибская плита]] |
||
[[uk:Карибська плита]] |
Pitio la 20:27, 18 Februari 2008
Bamba la Karibi ni bamba la gandunia lililopo chini ya Amerika ya Kati na Bahari ya Karibi. Limepakana na mabamba ya Amerika ya Kaskazini, Amerika ya Kusini na Nazi (Cocos Plate). Eneo lake ni takriban milioni 3.2 km².
Mipaka yake na mabamba mengine ni mahali pa matetemeko ya ardhi na milipuko ya volkeno. Baharini mpaka huu unaonekana kwa pinde la visiwa vya Karibi.
Nadharia ya asili yake
Nadharia ya asili yake inasema ya kuwa bamba hili lilikuwa sehemu ya juu ya bamba la Pasifiki. Wakati bamba la Atlantiki ilisukuma mabamba ya Amerika ya Kaskazini na Kusini kuelekea magharibi bamba hili la Karibi ilijisukuma juu ya bamba la Atlantiki. Kutokea kwa mlango wa nchi ya Amerika ya Kati kulitenganisha bamba hili na Pasifiki.