95,462
edits
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Lahaja za lugha moja zinakaribiana katika [[matamshi]], miundo ya [[sarufi]] na [[msamiati]].
Kama lugha hutofautiana katika matamshi tu, tofauti hizo huitwa [[lafudhi]] (
[[Uchambuzi]] na uchanganuzi wa lahaja ni [[tawi]] la [[isimujamii]].
Lahaja hutofautishwa kulingana na vipengele vifuatavyo:
==Lahaja za Kiswahili==
Lahaja za [[Kiswahili]] hutofautishwa kulingana na maeneo yake kama [[Kiunguja]] ([[Kisiwa|kisiwani]] [[Zanzibar]]) ambacho kimekuwa msingi wa [[Kiswahili Sanifu]], [[Kimvita]] (eneo la "[[Mvita]]" au [[Mombasa]] [[mji]]ni, [[Kenya]]), ambacho zamani kilikuwa lahaja kubwa ya pili pamoja na Kiunguja, [[Kiamu]] ([[kisiwa]]ni [[Lamu]], [[Kenya]]) na kadhalika. Nyingine ni pamoja na:
::* [[Kimrima]]: eneo la [[Pangani]], [[Vanga]], [[Dar es Salaam]], [[Rufiji]] na [[Mafia]] kisiwani ([[Tanzania]])
|