Benedikto Yosefu Labre : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Cavallucci - San Benedetto Giuseppe Labre.jpg|250px|thumb|right|Mtakatifu alivyochorwa na [[Antonio Cavallucci]] mwaka [[1795]].]]
[[Picha:Cavallucci - San Benedetto Giuseppe Labre.jpg|250px|thumb|right|Mtakatifu alivyochorwa na [[Antonio Cavallucci]] [[mwaka]] [[1795]].]]
[[Image:BJLABRE1.jpg|250px|thumb|right|Mtakatifu Benedict Joseph Labré.]]
[[Image:BJLABRE1.jpg|250px|thumb|right|Mtakatifu Benedict Joseph Labré.]]
[[Image:Madonna dei Monti 01.jpg|thumb|200px|Kanisa la [[Santa Maria ai Monti]] alimozikwa.]]
[[Image:Madonna dei Monti 01.jpg|thumb|200px|Kanisa la [[Santa Maria ai Monti]] alimozikwa.]]
'''Benedikto Yosefu Labre''' (kwa [[Kifaransa]] Benoît-Joseph Labré) alizaliwa tarehe [[25 Machi]] [[1748]] huko [[Amettes]], [[Boulogne-sur-Mer]], [[Ufaransa]] akafariki tarehe [[16 Aprili]] [[1783]] huko [[Roma]], [[Italia]] baada ya kuishi miaka mingi bila ya makao maalumu, [[hija|akihiji]] ma[[kanisa]] mbalimbali hasa kwa ajili ya kuabudu [[ekaristi]].
'''Benedikto Yosefu Labre''' (kwa [[Kifaransa]] Benoît-Joseph Labré; [[Amettes]], [[Boulogne-sur-Mer]], [[Ufaransa]], [[25 Machi]] [[1748]] - [[Roma]], [[Italia]], [[16 Aprili]] [[1783]]) alikuwa [[Mkristo]] maarufu kwa kuishi miaka mingi bila makao maalumu, [[hija|akihiji]] ma[[kanisa]] mbalimbali hasa kwa ajili ya kuabudu [[ekaristi]].


Alitangazwa na [[Papa Pius IX]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[20 Mei]] [[1859]], halafu [[Papa Leo XIII]] akamtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[8 Desemba]] [[1881]].
Alitangazwa na [[Papa Pius IX]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[20 Mei]] [[1859]], halafu [[Papa Leo XIII]] akamtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[8 Desemba]] [[1881]].


[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[16 Aprili]].
[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[16 Aprili]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.


==Tazama pia==
==Tazama pia==
Mstari 20: Mstari 20:
{{Commons category|Benoît Joseph Labre}}
{{Commons category|Benoît Joseph Labre}}
* [http://www.newadvent.org/cathen/02442a.htm ''St. Benedict Joseph Labre''] katika [[Catholic Encyclopedia]]
* [http://www.newadvent.org/cathen/02442a.htm ''St. Benedict Joseph Labre''] katika [[Catholic Encyclopedia]]

{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}

{{DEFAULTSORT:Labre, Benedict Joseph}}
{{DEFAULTSORT:Labre, Benedict Joseph}}

[[Category:Waliozaliwa 1748]]
[[Category:Waliozaliwa 1748]]
[[Category:Waliofariki 1783]]
[[Category:Waliofariki 1783]]

Pitio la 09:58, 15 Agosti 2020

Mtakatifu alivyochorwa na Antonio Cavallucci mwaka 1795.
Mtakatifu Benedict Joseph Labré.
Kanisa la Santa Maria ai Monti alimozikwa.

Benedikto Yosefu Labre (kwa Kifaransa Benoît-Joseph Labré; Amettes, Boulogne-sur-Mer, Ufaransa, 25 Machi 1748 - Roma, Italia, 16 Aprili 1783) alikuwa Mkristo maarufu kwa kuishi miaka mingi bila makao maalumu, akihiji makanisa mbalimbali hasa kwa ajili ya kuabudu ekaristi.

Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 20 Mei 1859, halafu Papa Leo XIII akamtangaza mtakatifu tarehe 8 Desemba 1881.

Sikukuu yake ni tarehe 16 Aprili[1].

Tazama pia

Marejeo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-140-51312-4.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. Martyrologium Romanum